Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Yuko sahihi maana mama ametandika lami kila mtaa kilaji Tanzania nzima.Mbunge wa Tandahimba 2015 - 2025, Katani Ahmed Katani amesema maendeleo makubwa ya miundombinu katika jimbo lake yameifanya Tandahimba kufanana na miji ya kimataifa kama Doha, Qatar.
"Leo ukienda Tandahimba kuanzia saa moja jioni, chukua selfie, upige picha kwenye barabara za Doha, Qatar, halafu upite barabara za Tandahimba na uweke kwenye mtandao — huwezi kuona tofauti," alisema Katani.
Ameongeza kuwa Tandahimba mjini sasa ni miongoni mwa miji inayoongoza kwa taa za barabarani mkoani Mtwara. "Usiku ukipita barabarani mji wangu mimi sasa ni katika miji, ukienda mkoa wa Mtwara unaongoza kwa taa za barabarani. Unaokota mpaka sindano, huna sababu ya kutumia baiskeli na kuwasha taa, huna sababu ya kuendesha gari na kuwasha taa. Utawasha taa kwa sababu ni takwa la sheria za barabarani, ikifika saa 12 uwashe taa."
View attachment 3393494
Kuna jinsi hawa watu wanawaona watanzania wajinga. Mimi nilikuwa Tandahimba a month ago nilienda nunua korosho aisee barabara ilikuwa mbaya kule.Mbunge wa Tandahimba 2015 - 2025, Katani Ahmed Katani amesema maendeleo makubwa ya miundombinu katika jimbo lake yameifanya Tandahimba kufanana na miji ya kimataifa kama Doha, Qatar.
"Leo ukienda Tandahimba kuanzia saa moja jioni, chukua selfie, upige picha kwenye barabara za Doha, Qatar, halafu upite barabara za Tandahimba na uweke kwenye mtandao — huwezi kuona tofauti," alisema Katani.
Ameongeza kuwa Tandahimba mjini sasa ni miongoni mwa miji inayoongoza kwa taa za barabarani mkoani Mtwara. "Usiku ukipita barabarani mji wangu mimi sasa ni katika miji, ukienda mkoa wa Mtwara unaongoza kwa taa za barabarani. Unaokota mpaka sindano, huna sababu ya kutumia baiskeli na kuwasha taa, huna sababu ya kuendesha gari na kuwasha taa. Utawasha taa kwa sababu ni takwa la sheria za barabarani, ikifika saa 12 uwashe taa."
View attachment 3393494
Ndivyo wanavyolaghai watu wasiojitambua"Leo ukienda Tandahimba kuanzia saa moja jioni, chukua selfie, upige picha kwenye barabara za Doha, Qatar, halafu upite barabara za Tandahimba na uweke kwenye mtandao — huwezi kuona tofauti," alisema Katani.
Wewe utakuwa sio Tandahimba hiyo anayoongelea MheshimiwaKuna jinsi hawa watu wanawaona watanzania wajinga. Mimi nilikuwa Tandahimba a month ago nilienda nunua korosho aisee barabara ilikuwa mbaya kule.
Kwani shida yao ilikuwa ni taa za barabarani ? 😀Mbunge wa Tandahimba 2015 - 2025, Katani Ahmed Katani amesema maendeleo makubwa ya miundombinu katika jimbo lake yameifanya Tandahimba kufanana na miji ya kimataifa kama Doha, Qatar.
"Leo ukienda Tandahimba kuanzia saa moja jioni, chukua selfie, upige picha kwenye barabara za Doha, Qatar, halafu upite barabara za Tandahimba na uweke kwenye mtandao — huwezi kuona tofauti," alisema Katani.
Ameongeza kuwa Tandahimba mjini sasa ni miongoni mwa miji inayoongoza kwa taa za barabarani mkoani Mtwara. "Usiku ukipita barabarani mji wangu mimi sasa ni katika miji, ukienda mkoa wa Mtwara unaongoza kwa taa za barabarani. Unaokota mpaka sindano, huna sababu ya kutumia baiskeli na kuwasha taa, huna sababu ya kuendesha gari na kuwasha taa. Utawasha taa kwa sababu ni takwa la sheria za barabarani, ikifika saa 12 uwashe taa."
View attachment 3393494
Acha uongo!. ulikua Tandahimba uswekeni huko ,Nanjilinji!.. Katani yupo sahihi Tandahimba mji umenoga ,,nipo site ,,,naishi huku 10 yrs now,,,, hapo hajasema barabara ya Tandahimba -masasi na Tandahimba -Mtwara mkandatas yupo site inapigwa lamiKuna jinsi hawa watu wanawaona watanzania wajinga. Mimi nilikuwa Tandahimba a month ago nilienda nunua korosho aisee barabara ilikuwa mbaya kule.
Mimi nimekwenda Tandahimba huko korosho zinakozalishwa kwa wingi. Barabara zilikuwa mbaya. Nimekaa huko muda mrefu tu maana nilikuwa ninakusanya korosho. Hivyo barabara za tandahimba uliko wewe ni sawa na za Qatar mkuu au siyo?Acha uongo!. ulikua Tandahimba uswekeni huko ,Nanjilinji!.. Katani yupo sahihi Tandahimba mji umenoga ,,nipo site ,,,naishi huku 10 yrs now,,,, hapo hajasema barabara ya Tandahimba -masasi na Tandahimba -Mtwara mkandatas yupo site inapigwa lami
Tandahimba - newala? Ameweka Lami?Acha uongo!. ulikua Tandahimba uswekeni huko ,Nanjilinji!.. Katani yupo sahihi Tandahimba mji umenoga ,,nipo site ,,,naishi huku 10 yrs now,,,, hapo hajasema barabara ya Tandahimba -masasi na Tandahimba -Mtwara mkandatas yupo site inapigwa lami
Tuwekee hata kapicha basi tukuunge mkonoAcha uongo!. ulikua Tandahimba uswekeni huko ,Nanjilinji!.. Katani yupo sahihi Tandahimba mji umenoga ,,nipo site ,,,naishi huku 10 yrs now,,,, hapo hajasema barabara ya Tandahimba -masasi na Tandahimba -Mtwara mkandatas yupo site inapigwa lami
Mwanatandahimba aliyewahi kufika Doha ajitokeze.Mbunge wa Tandahimba 2015 - 2025, Katani Ahmed Katani amesema maendeleo makubwa ya miundombinu katika jimbo lake yameifanya Tandahimba kufanana na miji ya kimataifa kama Doha, Qatar.
"Leo ukienda Tandahimba kuanzia saa moja jioni, chukua selfie, upige picha kwenye barabara za Doha, Qatar, halafu upite barabara za Tandahimba na uweke kwenye mtandao — huwezi kuona tofauti," alisema Katani.
Ameongeza kuwa Tandahimba mjini sasa ni miongoni mwa miji inayoongoza kwa taa za barabarani mkoani Mtwara. "Usiku ukipita barabarani mji wangu mimi sasa ni katika miji, ukienda mkoa wa Mtwara unaongoza kwa taa za barabarani. Unaokota mpaka sindano, huna sababu ya kutumia baiskeli na kuwasha taa, huna sababu ya kuendesha gari na kuwasha taa. Utawasha taa kwa sababu ni takwa la sheria za barabarani, ikifika saa 12 uwashe taa."
Ukistaajabu ya kawe utayaona ya TandahimbaMbunge wa Tandahimba 2015 - 2025, Katani Ahmed Katani amesema maendeleo makubwa ya miundombinu katika jimbo lake yameifanya Tandahimba kufanana na miji ya kimataifa kama Doha, Qatar.