ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Upuuzi mtupuMy Take
Inaweza kuwa kweli au pia kujikosha Kisiasa.
View: https://www.instagram.com/reel/Dck6MTEjIUa/?igsi=MWl4emhlNnNyZnd3Zw==
Amesema alimpigia simu mhusika so mambo mengine ni Siri usikurupuke kuyaweka wazi.Upuuzi mtupu
Kwa nini hakutoa utabiri kbl
Mambo kama haya ndio maana Huwa hamtoboi na mnawapa bahati wale mnaowachukia ,ndio kanuni ya Dunia.natamani alshababu warushe bomu humo ndani tumalize hii biashara
Ni uchawa uchawa tu ndo mnaweza wezi nyieMy Take
Inaweza kuwa kweli au pia kujikosha Kisiasa.
View: https://www.instagram.com/reel/Dck6MTEjIUa/?igsi=MWl4emhlNnNyZnd3Zw==
Kingu mnafiki sana anahangaika sana kujipendekeza ila ndo ivo uwaziri anaouota kila siku hawezi kuja kupata
Sio Kila mtu atakuwa Waziri ila usimhukumu labda ni kweli.Ni uchawa uchawa tu ndo mnaweza wezi nyie
Mnauwa watu afu mnasingizia wengine?
Chawa mwenzio huyo hahahhaaa, tofauti ye ni mbunge wakati we ni wa mitandaoniMy Take
Inaweza kuwa kweli au pia kujikosha Kisiasa.
View: https://www.instagram.com/reel/Dck6MTEjIUa/?igsi=MWl4emhlNnNyZnd3Zw==
Mimi sio chawa Wala sinufaiki Kisiasa au kupata ugali Kisiasa.Chawa mwenzio huyo hahahhaaa, tofauti ye ni mbunge wakati we ni wa mitandaoni
Uchawa uchawa uchawa tuMimi sio chawa Wala sinufaiki Kisiasa au kupata ugali Kisiasa.
Ndio mpaka aoneshwe,anaweza kuwa Deo Ndejembi tenaHaya basi atueleze nani atakuwa Rais 2030?..kutaka kujipa tu UMUHIMU ..kwanza sidhani kama atarudi tena bungeni..shubamiti zake
Porojo tu!Ndio mpaka aoneshwe,anaweza kuwa Deo Ndejembi tena