Mbunge 'Kisu' kuliko wote bungeni!

Mbunge 'Kisu' kuliko wote bungeni!

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,149
Reaction score
3,825
WanaJF,

Bunge la 11 lina visa vyake vingi ila kwa leo napenda nije na hiki cha mbunge kisu na mrembo kuliko wabunge wote bungeni, nae sio mwingine bali ni Bona Kaluwa (mb), ambae ni mbunge wa jimbo la Segerea kwa tiketi ya CCM..

Huyu mtoto mzuri ndiye amemgalagaza vibaya Mtatiro jimboni Segerea. Sema hii mada haitaki tujiingize sana kwenye majeraha ya kampeni, badala yake mada hii inataka tupongeze na kusifu uumbaji wa bwana.

Jionee mwenyewe:

Screenshot_2015-11-23-08-47-32-1.png
 
Fananisha mwenyewe kaka...huoni Bona alivyofunika?
 
Atakuwa cha kula cha Zitto kama ilivyokuwa kwa Chifupa
 
Chakula cha nani.? asiyejipenda amshobokee
Mumewe ana mawe mpaka anakera..
 
Back
Top Bottom