Mbunge 'Kisu' kuliko wote bungeni!

Mbunge 'Kisu' kuliko wote bungeni!

Huyu je!

attachment.php

Huyu ni nani?
 
Bona mzuri sana nilimuona pande fulani na range yake anaonekana yupo vizuri pia mfukoni. Ana nuru ya ngozi mpaka usoni.
 
WanaJF,

Bunge la 11 lina visa vyake vingi ila kwa leo napenda nije na hiki cha mbunge kisu na mrembo kuliko wabunge wote bungeni, nae sio mwingine bali ni Bona Kaluwa (mb), ambae ni mbunge wa jimbo la Segerea kwa tiketi ya CCM..

Huyu mtoto mzuri ndiye amemgalagaza vibaya Mtatiro jimboni Segerea. Sema hii mada haitaki tujiingize sana kwenye majeraha ya kampeni, badala yake mada hii inataka tupongeze na kusifu uumbaji wa bwana.

Jionee mwenyewe:

View attachment 307387

Nashukuru umempa sifa jirani yangu nitamfikishia salaam zke
 
Back
Top Bottom