Mbunge 'Kisu' kuliko wote bungeni!

Mbunge 'Kisu' kuliko wote bungeni!

WanaJF,

Bunge la 11 lina visa vyake vingi ila kwa leo napenda nije na hiki cha mbunge kisu na mrembo kuliko wabunge wote bungeni, nae sio mwingine bali ni Bona Kaluwa (mb), ambae ni mbunge wa jimbo la Segerea kwa tiketi ya CCM..

Huyu mtoto mzuri ndiye amemgalagaza vibaya Mtatiro jimboni Segerea. Sema hii mada haitaki tujiingize sana kwenye majeraha ya kampeni, badala yake mada hii inataka tupongeze na kusifu uumbaji wa bwana.

Jionee mwenyewe:

View attachment 307387

Weka picha akiwa jukwaani anahutubia na mijasho inamtoka, sio hizi zilizofanyiwa editing studio.
 
ImageUploadedByJamiiForums1448853979.638794.jpghuyu hapa
 
Bona kaluwa, sijui nipasue Jipuuu!? Namjua kindakindaki
 
Back
Top Bottom