Mbunge 'Kisu' kuliko wote bungeni!

Mbunge 'Kisu' kuliko wote bungeni!

Hakika mrembo kumbe kunawake wazuri Tz ila wapo kimya tu sio wenye uzuri wa dukani wanavyojishebedua huko inst.mashallah
 
sura sio kigezo cha uzuri weka full pics tuangalie kma yaleee mambo yetu yapo......mpododo wa haja anao neema za allah
 
Du kweli kupenda ni ukipofu pengo unaona mwanya na kengeza unaona normal
 
Ingekuwa enzi za mh fln,, wangekoma hao wote wazur wazur, ila uyu apa mbombo tu kidogo watanusurika
 
Ukimuona laivu unaweza badili mawazo. Tena akiongea ndio anakata stimu kabisa
 
Nae kaufuga mzingo??????? naona passport size
 
Back
Top Bottom