DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,966
Chadema viti maalumu (Jina nalihifadhi)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu je!
![]()
Chadema viti maalumu (Jina nalihifadhi)
WanaJF,
Bunge la 11 lina visa vyake vingi ila kwa leo napenda nije na hiki cha mbunge kisu na mrembo kuliko wabunge wote bungeni, nae sio mwingine bali ni Bona Kaluwa (mb), ambae ni mbunge wa jimbo la Segerea kwa tiketi ya CCM..
Huyu mtoto mzuri ndiye amemgalagaza vibaya Mtatiro jimboni Segerea. Sema hii mada haitaki tujiingize sana kwenye majeraha ya kampeni, badala yake mada hii inataka tupongeze na kusifu uumbaji wa bwana.
Jionee mwenyewe:
View attachment 307387
Hivi jaman Irene Uwoya yupo bungeni au vipi???
Irene uwoya walimkata katika uteuzi wa viti maalumu
Weka itikadi na machungu ya uchaguzi pembeni. Ndio hapo utapata picha halisi ya ukali wa Bona.
Mtoto wa Bulembo ana mdomo wa denda....
Daah!
Linawaza NGONO tu MAGAMBA BANA
Mkuu unataka nikuombe papuchi nini? Mimi nitakutongoza ujue..
Kajitie madole ------ wewe
Mkuu tulia basi, leo Niko na mtoto wa bulembo...kesho zamu yako..