Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo much knowNashukuru umempa sifa jirani yangu nitamfikishia salaam zke
Acha uongo much know
Haha et nyumba yangu haya tuma salamu kwa watu watatu maana uongo wako mpaka shigongo anasubiriUongo wng me nini me ni mkaZi wa tabata segerea huyu anaishi karibu na nyumba yng
Haha et nyumba yangu haya tuma salamu kwa watu watatu maana uongo wako mpaka shigongo anasubiri
Unawajua wa bunge wote lakini au kwa sababu unamjua huyo wengine huwajuiNingependa kutuma salam kwa jirani yangu Bona Pili kwa msanii kibakuli na pongezi kwake kwa kuingia 40's na tatu kwako wewe pwilo
Ujumbe vunja mifupa Kama meno bado ipo
Unawajua wa bunge wote lakini au kwa sababu unamjua huyo wengine huwajui
Kuna watoto visu mpaka akisimama job ndugai anatoa macho
Kuna yule mtoto wa Ditto, ni mkali mbaya😛
Huyo bona kwa saada mkuya anasubiri sanaHamna wa kumzidi huyu tukiangalia na umri wke anakimbiza
Aaaaa wapiii!!! Mnadanganywa na 360.
Huyo hata kwa Matiko hafiki!
Mbunge kisu ni huyu naibu spika[/IMG]![]()
Mbunge wa kuteuliwaHuyu naye ni Mbunge?
Anaitwa nani huyu dada?
how sure are you....si ajabu miguu yake ni myembamba kama ya mbu besides beauty is relevant. Mimi sioni uzuri hapo ukizingatia hiyo picha ni ya ujanani sana. Picha yake ya sasa ni huyo kulia.
![]()