Mbunge wa Jimbo la Ikungi Mashariki, Thomas Kitima Mgonto akiwa Bungeni Dodoma Leo Aprili 22, 2026 amehoji Serikali ni lini itajenga minara ya Mawasiliano akieleza Vijiji vingi katika jimbo hilo hakuna mawasiliano jambo linalofanya akienda kwenye ziara ni kama yupo gizani na kulazimika kulala mjini ili kupata taarifa za kitaifa