Mkuu hii account wame hack?Mwendawazimu yule!
Huyo ni version mpya ya kesi+nkamiaWabunge pamoja na kuwa wawakilishi ni wananchi pia, katika hili wapo wasiokubaliana na huyu mwakilishi wa wananchi na wapo wanaokubaliana nae....
Tukiwa mitaani kwetu jimboni kule tuulizane wangapi wanakubaliana na huyu mwakilishi na wangapi wanamkataa
Huyo ni version mpya ya kesi+nkamia
Ova
Wabunge wa ccm hao, ndio ambao jamaa alitaka tumletee. Refer nileteeni gwaji, nileteeni gwajiii, nileteeni gwajiiiiiiiiiiiiiWabunge msijisahau Wananchi wamewatuma muwawakilishe tafadhali msifanye mambo kama mmejipeleka wenyewe Bungeni msiwe walafi wa madaraka
Maana kelele hizi za kutaka Rais abaki madarakakani si kwamba ni kweli mnampenda abaki kwa sababu amefanya mazuri kuliko walio pita hapana bali kwa sababu mnajua kabisa kubaki kwake madarakani ndio kubaki kwenu madarakani
Rais tafadhali usiuvae mkenge huu wa Wabunge wanye ulafi wa madaraka mkwa sababu walio pita nao wangekuwa na mawazo kama hayo hata Rais wa sasa asinge ipata nafasi hiyo.
Wabunge msijisahau Wananchi wamewatuma muwawakilishe tafadhali msifanye mambo kama mmejipeleka wenyewe Bungeni msiwe walafi wa madaraka
Maana kelele hizi za kutaka Rais abaki madarakakani si kwamba ni kweli mnampenda abaki kwa sababu amefanya mazuri kuliko walio pita hapana bali kwa sababu mnajua kabisa kubaki kwake madarakani ndio kubaki kwenu madarakani
Rais tafadhali usiuvae mkenge huu wa Wabunge wanye ulafi wa madaraka mkwa sababu walio pita nao wangekuwa na mawazo kama hayo hata Rais wa sasa asinge ipata nafasi hiyo.
Gwajima alikataa teknolojia ya 5G isiruhusiwe nchini kwa kuihusisha na mnyama 666. Kisha alikataa chanjo ya Covid_19Wabunge wa ccm hao, ndio ambao jamaa alitaka tumletee. Refer nileteeni gwaji, nileteeni gwajiii, nileteeni gwajiiiiiiiiiiiii
naomba radhi kwa niaba ya yake na wananjombe wote kwa kua mzee wetu hakupata muda wa kutafakariWabunge msijisahau Wananchi wamewatuma muwawakilishe tafadhali msifanye mambo kama mmejipeleka wenyewe Bungeni msiwe walafi wa madaraka
Maana kelele hizi za kutaka Rais abaki madarakakani si kwamba ni kweli mnampenda abaki kwa sababu amefanya mazuri kuliko walio pita hapana bali kwa sababu mnajua kabisa kubaki kwake madarakani ndio kubaki kwenu madarakani
Rais tafadhali usiuvae mkenge huu wa Wabunge wanye ulafi wa madaraka mkwa sababu walio pita nao wangekuwa na mawazo kama hayo hata Rais wa sasa asinge ipata nafasi hiyo.
Kama unajua vizuri kazi za mbunge na kazi za rais/serikali utajifikilia mara mbili mbili rais kusistizia aletewe mbunge flan badala ya kuwaacha wananchi wenyewe waamue.Gwajima alikataa teknolojia ya 5G isiruhusiwe nchini kwa kuihusisha na mnyama 666. Kisha alikataa chanjo ya Covid_19
Huyo wananchi waliombwa wampe mkuu kama kifaa muhimu...
Mkuu upo sahihi! Hao wabunge wote wanajua kuwa wapo Bungeni kwa KUPELEKWA KWA AMRI ya huyo wanayetaka ATAWALE MILELE!Usipende kujidanganya. Hakuna mbunge hata mmoja kwenye hili Bunge ambaye anawakilisha wananchi .
Wale ni wabunge wa MaDEDs, ni wawakilishi wa wakurugenzi wa halmashauri na Mahera. Bungeni ni wasemaji wa hilo kundi. Wapo sahihi sana kujadili hayo unayoyasikia.
Kiukweli mimi nawapongeza sana hao Wabunge
Kumbe unajielewa Mungu akubarikiMwendawazimu yule!