Mbunge Lijualikali ahojiwa na TAKUKURU. Adai wabunge wa CHADEMA wamejipanga kudanganya lakini hawatafanikiwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mbunge wa Kilombero mh Lijualikali alikuwa ni miongoni mwa wabunge wa Chadema waliohojiwa na Takukuru kuhusiana na matumizi ya fedha za chama.

Baada ya kuhojiwa mh Lijualikali aliongea na waandishi wa habari na kuwaambia mahojiano yake na Takukuru yamefanyika vizuri.

Zaidi akasema ana taarifa kuwa wabunge wa Chadema wamejipanga ili kutoa taarifa za uwongo na kumnusuru Mbowe.

Lijualikali ameapa kuwa wabunge hao hawatafanikiwa katika njama walizopanga.

Chanzo: Eatv habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Dr Slaa, Zito, Kitila hawa wote walikua vigogo ndani ya chadema lakini wameondoka bila kulalamikia ufujaji pesa pale cdm

Hawa vijana walioondoka awamu hii ya Magufuli sijui wamejifunza wapi kutukana waliowatoa jalalani.

Lijualikali simfahamu, lakn Silinde ameni-disappoint sana jamani, nilikua namwona kama very matured!
 
Yaani hii ndo imethibitisha kuwa hao takukuru ni mpango mkakati wa kusaidia jamaa wale walio hoi.

Ingekuwa ni nchi ya watu makini hii kima lijualikali ingekamatwa iisaidie polisi kuhusu kauli yake.

Kwamba analazimisha wingine wawe na mawazo yake? Why?

Afrika tuna safari ndefu kufikia ustaarabu.
 
Chadema kutoka kuwa chama cha kupambana na rushwa hadi kuwa chama cha kutetea rushwa

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Hujui tu. Tulisoma sana tuhuma wizi zikiwekwa hapa na I'd ya mkulima maskini ambapo baadae ilibainika alikuwa Samson mwigamba aliyekuwa mkurugenzi wa mipango na fedha wa chadema akiwa na mtandao wa m1,m2 na m3 .hapo ni zito, kitila na mwigamba

Kwa upande wa slaa yeye aliondoka akidai lowasa ameuziwa nafasi ya kugombea

Nyie vijana wa leo hamjui wizi wa ndani ya chadema ulivyokuwa na history ndefu

Labda ulikuwa bado kichanga. Aliyeibua madeni ya chama hewa ni Zitto akiwa naibu katibu mkuu. Nyuzi ziko humu JF unaweza kufukua.
 
Wakti mwingine CHADEMA huwa wanafanya makosa Sana kwenye vetting wanapotafuta Sifa za mtu kuwa Mbunge.
Huyu Lijualikali anaonekana ni bwege Sana na hakustahili kupewa nafasi hii ya Ubunge.
Huyu jamaa angelikuwa ni Askari wa Jeshi halafu Yuko Frontline, akikamatwa na adui atatoa Siri zote za nji. In short jamaa hana guts za kuhimili Mambo. Ogopa Sana janaume linaloamua KULIA mbele ya Wanaume wenzake....Ni tabia za kike!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…