Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
Baadhi ya wabunge wamekuja na majibu ya makato ya fedha kwa wabunge wa chadema lakini swali muhimu ambalo lijua likali na wananchi tunataka tujue matumizi ya rudhuku ya fedha za walipa kodi.
Tunataka mtupe majibu yafuatayo.
1.matumizi wa fedha za rudhuku za chama yanaamliwa na nani?
2. Mbowe alikopesha fedha chama kwa mashart yapi? Je nani ali ridhia mkopo na riba hiyo?
3. Je mbowe amesajiriwa au anakampuni ya kukopesha? Je analipia mapato kupitia mikopo hiyo?
4. Je makato yawabunge wanayokatwa hata km yapo kisheria nayametajwa kwenye form, je !hizo fedha zinatumika kwa madhumuni ya makato hayo?
5. Je ! Mali zote za chama zinatumika kwa kazi za chama?
6.je matumizi ya fedha za chama yanasimamiwa na kupitishwa na kamati ya fedha?
7. Je nyaraka zote zinazohusu fedha za chama zipo?
Kwa ujumla kwa maelezo ya lijualikari kunamambo mengi yanaenda kufunuliwa
Nawaomba wabunge wachadema msitupe majibu yanayohusu makato tu!
Tunataka majibu ya maswali hayo namengine ambayo yanahitaji majibu.