Mbunge Lijualikali ahojiwa na TAKUKURU. Adai wabunge wa CHADEMA wamejipanga kudanganya lakini hawatafanikiwa!

Baadhi ya wabunge wamekuja na majibu ya makato ya fedha kwa wabunge wa chadema lakini swali muhimu ambalo lijua likali na wananchi tunataka tujue matumizi ya rudhuku ya fedha za walipa kodi.

Tunataka mtupe majibu yafuatayo.

1.matumizi wa fedha za rudhuku za chama yanaamliwa na nani?

2. Mbowe alikopesha fedha chama kwa mashart yapi? Je nani ali ridhia mkopo na riba hiyo?

3. Je mbowe amesajiriwa au anakampuni ya kukopesha? Je analipia mapato kupitia mikopo hiyo?

4. Je makato yawabunge wanayokatwa hata km yapo kisheria nayametajwa kwenye form, je !hizo fedha zinatumika kwa madhumuni ya makato hayo?

5. Je ! Mali zote za chama zinatumika kwa kazi za chama?

6.je matumizi ya fedha za chama yanasimamiwa na kupitishwa na kamati ya fedha?

7. Je nyaraka zote zinazohusu fedha za chama zipo?

Kwa ujumla kwa maelezo ya lijualikari kunamambo mengi yanaenda kufunuliwa

Nawaomba wabunge wachadema msitupe majibu yanayohusu makato tu!

Tunataka majibu ya maswali hayo namengine ambayo yanahitaji majibu.
 
Kuna thread nimeweka kwenye mada hihii na umesema kama nilivyoamini mimi pia!
 
Usipoteze muda wako kwa kuamini Lijuakali ana hoja ya msingi. CAG aliyachunguza hayo yote. Unaamini kuwa Lijuakali ana weledi kuizidi ofisi nzima ya CAG na wasaidizi wake?

Lijuakali is evil - unluckly he is a low brain, is going to achieve nothing apart from what he deserves.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka sikia,
CAG anaangalia karatasi za mapato na matumizi, ule ujanja ujanja wa kununua risiti nakuweka kwenye mafaili hawezi kuujua.

Mfano umetumwa na kampuni kwakutumia gari ya ofice, ukaingia kituo cha mafuta ukaweka 80liters
Ukafika sehem ukashusha lita 60 ukabaki na 20lts, akija mkaguzi yy ataangalia matumizi yafedha nakukuta lisiti ya mafuta ipo hivyo atajiridhisha.

Anae jua wizi wa mafuta niyule anae husika au anaejua mchezo
Mpaka awatonye ofice waanze ifstiliaji .

Kwahiyo lijua likali ameshatoa sili nso maana takukuru wanachunguza kila kitu, km ni lisiti wataifatilia mpaka ilikotoka wataenda mpaka kwenye magari kucheki kilometer hours

We subili.
Ndo maana hatq wanaokuja kusema hawana majibu hayo.
 
Back
Top Bottom