kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Hao wabunge waliohamia hiv karibuni,wanapigwa chini wote,haiwezekani kuna vijana ccm kibao wapo na chama alafu wao wnahamia ndio wateuliwe,muda wao umeshapita.wakajiandae kufanya kazi nyingine tuMbunge wa Kilombero mh Lijualikali alikuwa ni miongoni mwa wabunge wa Chadema waliohojiwa na Takukuru kuhusiana na matumizi ya fedha za chama.
Baada ya kuhojiwa mh Lijualikali aliongea na waandishi wa habari na kuwaambia mahojiano yake na Takukuru yamefanyika vizuri.
Zaidi akasema ana taarifa kuwa wabunge wa Chadema wamejipanga ili kutoa taarifa za uwongo na kumnusuru Mbowe.
Lijualikali ameapa kuwa wabunge hao hawatafanikiwa katika njama walizopanga.
Source Eatv habari
Maendeleo hayana vyama!