Unaongea usichokijua, umeshawahi kusikia kitu inaitwa CDM ni msingi?Yes mtu pekee katika historia ya Chadema aliediriki kuhoji wazi wazi. Maana hata kina Zitto enzi zile walikuwa pro Mbowe na walimponda sana Chacha Wangwe ilhali alikuwa anaongea ukweli ambao ungeifanya Chadema kuwa chama cha kweli chenye sura ya kitaifa. Aliwataka wajenge chama from bottom to the top. Wao wanakijenga from top ndo maana hakuna nguzo wala misingi imara.
Umeonyesha dhahiri unyumbu Mwamba alijua sababu ya kukasimisha majukumu ya kamati kuu ma alifanikiwa akafanya yakeNimemsikiliza hana hoja credible, kumbe CDM wapo vizuri sana kufuata taratibu zao vikao." Baraza kuu lilikasimu halmashauri kuu ya chama kufanya mabadiliko bajeti..." Lijuakali, pia upande wa gari ununuzi ile ni tax avoidance inakubalika unatumia mianya ya kisheria kukwepa kodi, mbunge na chama wanafungamana, kinyume chake kama lingeuzwa kwa ujanja mitaani matumizi binafsi angekuwa na hoja pangekuwa na jinai na uhujumu uchumi.Hongereni sana CDM msiogope wanazidi kuwapa promo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemsikiliza hana hoja credible, kumbe CDM wapo vizuri sana kufuata taratibu zao vikao." Baraza kuu lilikasimu halmashauri kuu ya chama kufanya mabadiliko bajeti..." Lijuakali, pia upande wa gari ununuzi ile ni tax avoidance inakubalika unatumia mianya ya kisheria kukwepa kodi, mbunge na chama wanafungamana, kinyume chake kama lingeuzwa kwa ujanja mitaani matumizi binafsi angekuwa na hoja pangekuwa na jinai na uhujumu uchumi.Hongereni sana CDM msiogope wanazidi kuwapa promo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe anayapigisha kwata maCCM, Sasa kimekuwa chama Cha manunuzi.
Sio kwa kilombero.Arudi kwenye bodaboda tuKama yeye ni asset, now aende Chaumma akagombee ubunge jimboni kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanapambana kuuwa upinzani kuliko kupambana kuuwa umasikiniCCM wameishiwa pumzi, badala ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi wameamua kupambana na Mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app
Pumzi imekata mkuu, inamaana umasikini, ujinga na maradhi vimeshawashinda, na ndo maana wakaamua kupambana na upinzani.Wanapambana kuuwa upinzani kuliko kupambana kuuwa umasikini
Wangefuta umasikini na upinzani ungefutika automatically.Pumzi imekata mkuu, inamaana umasikini, ujinga na maradhi vimeshawashinda, na ndo maana wakaamua kupambana na upinzani.
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Unajitahidi kunyea Kambi!Siamini kama haya yote yalikuwa yakitokea wakati Naye akiwa kiongozi,ukakaa kimya had I ulipotimuliwa?Tukuamini?Lijuakali - Akana kumuoa mtoto wa Spika Ndugai
Lijuakali - Akana kusema kuwa CHADEMA waliiba kura 2015 (Mada iliyoandikwa JamiiForums)
Lijuakali - Akana maneno ya Lissu kuwa hakumlipa hela, adai alimlipa milioni 20
Lijuakali - Amsifia Lissu anapokuwa anafanya kazi zake za uwakili
Lijuakali - Hata kama CCM wakimkataa, hatarudi CHADEMA
Lijuakali - Akizungumzia alichosema Bulaya kuhusu yeye kuwa aweke akiba ya maneno, auliza kuwa Bulaya anaogopa nini Lijuakali asiseme anachojua
Lijuakali - Kuhusu ripoti ya CAG: CHADEMA kilimkopesha sehemu ya ruzuku Mbunge akanunue gari, baada ya gari kununuliwa gari hilo likawa linatumiwa na chama , kwahiyo mbuge alipewa pesa na chama ili anunue gari ili chama kikwepe kodi
Lijuakali - CHADEMA waliwafuata kuwa chama kinataka kununua magari ila hakina hela, kwahiyo chama kikawaomba wabunge ambao hawajatumia exemptions zao kutumia exemptions hizo kununua magari ya chama ili kukwepe kulipa kodi
Hata kama ni ukweli hakupaswa kufanya alichokifanya.
Hahaaaa wanasiasa ukishawajua haupati TabuNa ameahidi kuwa akiguswa tena, basi ile formular ya fizikia (nimeisahau) ataitumia. Amewapiga mkwara akina Mbowe na Company.
Kijana anatisha huyu, kweli LUMUMBA watampa cheo tu. Kamwe nyanya haendi kulima.
Kwa hiyo atarudi hapo kwa ticket ya ccm siyoBila lijualikali huenda mpaka sasa chadema isingepata jimbo la kilombero Tulimchagua lijualikali sio kwasababu ya chama chake ni kwa sababu ya kujitoa kwake kabla hata hajawa diwani wa ifakara alikuwa anaushawish mkubwa ndani ya ifakara...Had chadema inachukua jimbo la kilombero lijua ameteseka sana so yupo sahihi kusema yeye na chadema wametoana mbali
Kuing'oa ccm kwenye jimbo waliloweka mizizi sio mchezo...Nakuahakikishia Chadema bila lijualikali isahau jimbo la kilombero Kwa sasa
Hujashangaa kwamba akiwa jela mshaara wake bado unaingia?! Fedha aliyokatwa ni ndani ya mkataba wa kila akilipwa laki 5 ni ya chama! Kwa uungwana, kabla ya kwenda ccm alipe mchango wa mwezi huu!Kilichonishangaza zaidi ni kukatwa fedha huku akiwa Jela kweli CHADEMA Ni shida
KWELI inakuwa kumwelewaKuna jambo linanitatiza kwenye maelezo yako, mh. Mbunge! Hapo kwamba hata kama ccm wangemsimamisha Mbowe angempiga!! Naona kama uhalisia wake ni mgumu, labda angetaja mwenyekiti wa ccm taifa, kidogo ingekua rahisi kuoanisha hoja na uhalisia! Alafu sijui inawezekanaje ufungwe na ccm, utetewe na CDM, alafu lawama ziende CDM!!?? Labda ni mimi nakua mgumu kumwelewa mbunge akili kubwa zaidi, sorry!