KWELI inakuwa kumwelewa
Ila nakushauri rudia kusoma tena huenda ukamwelewa
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mkuu ALL TRUTH,KWELI inakuwa kumwelewa
Ila nakushauri rudia kusoma tena huenda ukamwelewa
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Ni mpumbavuHuyu mtu ana uelewa mdogo sana, kazungumzia mengi, kawataja kina Msigwa na wengine watajibu wenyewe.
Hapa niongelee hili la yeye kuipinga hoja ya Chadema imemtoa mbali, anadai yeye na Chadema wote wametoana mbali, anasahau wakati Chadema imeanza harakati, yeye alikuwa hafahamiki popote na yeyote.
Nimuulize tu; kwanini aliamua kugombea ubunge wa jimbo lake kupitia Chadema na kuviacha vyama vingine vya upinzani?
Kama kweli anajiona yeye na Chadema ni nguvu sawa, kwanini asingegombea ubunge wa jimbo lake kupitia TLP au NCCR?
Na kama anajiamini ana nguvu, kwanini sasa hivi amekimbilia CCM akawe hata mfagizi, kwanini asiende kufagia TLP au Chaumma?!
Utaona wazi tu hapa kwamba, huyu jamaa anapenda kujitutumua, ila kwa kifupi ni mtu asie na shukrani, na asiejiamini, anajiona mwenye nguvu, ila anapenda kujiegemeza kwa ambavyo vimeshajengwa tayari na kusimama.
Kama kweli ana nguvu anazojinasibu anazo, atoke, aanzishe chama chake, halafu agombee ubunge tumuone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lijuakali - Akana kumuoa mtoto wa Spika Ndugai
Lijuakali - Akana kusema kuwa CHADEMA waliiba kura 2015 (Mada iliyoandikwa JamiiForums)
Lijuakali - Akana maneno ya Lissu kuwa hakumlipa hela, adai alimlipa milioni 20
Lijuakali - Amsifia Lissu anapokuwa anafanya kazi zake za uwakili
Lijuakali - Hata kama CCM wakimkataa, hatarudi CHADEMA
Lijuakali - Akizungumzia alichosema Bulaya kuhusu yeye kuwa aweke akiba ya maneno, auliza kuwa Bulaya anaogopa nini Lijuakali asiseme anachojua
Lijuakali - Kuhusu ripoti ya CAG: CHADEMA kilimkopesha sehemu ya ruzuku Mbunge akanunue gari, baada ya gari kununuliwa gari hilo likawa linatumiwa na chama , kwahiyo mbuge alipewa pesa na chama ili anunue gari ili chama kikwepe kodi
Lijuakali - CHADEMA waliwafuata kuwa chama kinataka kununua magari ila hakina hela, kwahiyo chama kikawaomba wabunge ambao hawajatumia exemptions zao kutumia exemptions hizo kununua magari ya chama ili kukwepe kulipa kodi
Jamaa wakati yupo jela zile laki tano za kila mwezi zikaendelea kukatwa kama kawaida.
Pesa mbele utu nyuma.
Jibu hoja ndugu. Hili la kukwepa kodi kama ni kweli ni tatizo kubwa moja kwa moja ni uhujumu uchumi.IQ ndogo
Hana ushawishi
Anaongea huku wavaa suti nyeusi wametulia kwenye Gari nje pale.... Idiot
Kama chama kinategemea ushauri toka kwa Mange Kimambi unategemea nini hapo?Yawezekana Chadema siyo Chama cha siasa kama wabunge wake ndio wa aina hii...bure kabisa!
PimbiJibu hoja ndugu. Hili la kukwepa kodi kama ni kweli ni tatizo kubwa moja kwa moja ni uhujumu uchumi.
Wewe ni pimbi mwenye matako.
Akapanue domo lake ccm km hajapotezwa fasta na watu wasiojulikana
Kama kweli ana nguvu angefanya kama Zitto KabweHuyu mtu ana uelewa mdogo sana, kazungumzia mengi, kawataja kina Msigwa na wengine watajibu wenyewe.