Mbunge Lijualikali atoa siri za CHADEMA; akana kumuoa mtoto wa Spika Ndugai

KWELI inakuwa kumwelewa

Ila nakushauri rudia kusoma tena huenda ukamwelewa

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
KWELI inakuwa kumwelewa

Ila nakushauri rudia kusoma tena huenda ukamwelewa

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mkuu ALL TRUTH,
Labda nitaelewa nikisoma, nikikiliza tena au hata kuikariri hii ‘hotuba’ ya mh. Mbunge, kwa hiyo Nashukuru kwa ushauri wako! Hata hivyo kabla ya kutumia muda, na kumaliza chaji ya tecno yangu, naomba umisome pia mkuu ili unipe ushauri ulioshiba!


Hii siasa ni ya wapi? Umekua mwanachama wa chama hiki kwa zaidi ya miaka mi5, umewakilisha wananchi kupitia chama hicho kwa miaka mi5! Umetetea sera za chama hicho, mpaka ukahukumiwa kifungo gerezani! Leo unatuaminisha kwamba hicho ni chama ‘kibaya’ hakifai, ni wezi, wamedhalilisha dhamana yao ya uongozi, wakati for 5 good years, umekua mmoja wao, na kama sikosei umehukumiwa jela mda mrefu kuliko most of them?!! Sawa sawa, rufaa ilikuondolea hatia, ikabatilisha hukumu yako, lakini unakiri kwamba hawa hawa “chama kibovu cha wezi“ ndo walio kutetea!! Kwanini mh. Mbunge asituamishe kwamba kazi ya utetezi, iliyofanywa na “hawa jamaa, wezi hawa, wakiongozwa na kubwa la la majambazi” lililokoswa koswa na risasi 16, ni batili?! Kwanini usikatae utetezi ule, toba ya kweli ukamalizie ile miezi mutatu, mwezi wa 10 urudi ukiwa safi?! (Maneno yaliyo katika, “ “, siyo imani yangu ni sarcastic)


Hii ni siasa gani mkuu? Huyu ambaye kwa miaka mitano amefanya kazi na “wezi wa kodi za Watizii” anatakaje wananchi wa Kilombero na Ifakara, wamrudishe tena bungeni, kupitia chama kingine?! Huyu ni whistleblower siyo?! Anapuliza hicho kipenga wiki mbili kabla ya kumaliza ubunge? It’s a joke! 😂🤣!! Basi si ajitoe muhanga tu, akatumike nchi kule kule aliko kuwa kwa miezi mitatu, kubeba tofali za kujenga magorofa yale siyo utumishi uliotukuka kuliko kulia bungeni na kutulisha matango pori haya???!!!!


Sorry mkuu sijashawishika kumalizia kusikiliza, let alone, kurudia, but 🙏! (Nimeishia alipo malizia kujibu shutma, akasema mmepaniki makananda!) one more thing, mimi siyo kamanda wala mwanachama wa chama cha siasa.
 
Ni mpumbavu
 
Jamaa wakati yupo jela zile laki tano za kila mwezi zikaendelea kukatwa kama kawaida.

Pesa mbele utu nyuma.
 
Lijuakali ni mpuuzi anaongea ongea tu! hajui kwamba kitu alichokifanya ni ujinga...Yeye alitegemea baada ya kufanya ujinga chadema wamuache tu? huyu jamaa ni hovyo kweli' ...aendelee tu kuropoka...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huo utaratibu wa chama kukopesha upo kikatiba?

Lisu aliwahi kutuambia kuwa Dr Slaa pia alikuwa amekopeshwa na chama.

Je na hawa wadeki barabara wanakopesheka au viongozi tu?
 
IQ ndogo
Hana ushawishi
Anaongea huku wavaa suti nyeusi wametulia kwenye Gari nje pale.... Idiot
Jibu hoja ndugu. Hili la kukwepa kodi kama ni kweli ni tatizo kubwa moja kwa moja ni uhujumu uchumi.
 
Kama kweli ana nguvu angefanya kama Zitto Kabwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…