OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ndugai kudhulumu haki ya Lissu na CAG havitamuacha salama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona Lusinde,Gwajima na Msukuma hawako upande wako wala hawakutetei basi jifungashe mapeeeema,maana hawa ndio wapuuzi wenyewe aliowasema Ustadh Kundecha.Mbunge wa jimbo la Mtera Livingstone Lusinde amemtaka Spika Job Ndugai ajiuzulu kufuatia kauli aliyoitoa kupinga serikali kuchukua mikopo. Lusinde amesema alianagalia clip yote ya mazungumzo ya Job Ndugai na hakuna sehemu iliyounganishwa ili kumchonganisha na Rais kama yeye (Ndugai) alivyosema, alieleza zaidi kuwa hayo yalikuwa ni maneno yake na hivyo hata katika uombaji wake wa msamaha hakuwa na sababu ya kukanusha alichokisema. Lusinde amemtaka Spika Ndugai kujiuzulu mara moja ili kuwatendea haki wagogo pamoja na wakazi wa mkoa wa Dodoma ambao ni wanufaika mkubwa wa mkopo uliochukuliwa na serikali.
View attachment 2070646
Huyu asingemsagia kunguni ndugai ningeshangaa sana maana hata kile kikao cha wagogo walialikwa wagogo wenye degree tu,sasa lusinde asimsindikize ndugai kwanini?Mbunge wa jimbo la Mtera Livingstone Lusinde amemtaka Spika Job Ndugai ajiuzulu kufuatia kauli aliyoitoa kupinga serikali kuchukua mikopo. Lusinde amesema alianagalia clip yote ya mazungumzo ya Job Ndugai na hakuna sehemu iliyounganishwa ili kumchonganisha na Rais kama yeye (Ndugai) alivyosema, alieleza zaidi kuwa hayo yalikuwa ni maneno yake na hivyo hata katika uombaji wake wa msamaha hakuwa na sababu ya kukanusha alichokisema. Lusinde amemtaka Spika Ndugai kujiuzulu mara moja ili kuwatendea haki wagogo pamoja na wakazi wa mkoa wa Dodoma ambao ni wanufaika mkubwa wa mkopo uliochukuliwa na serikali.
View attachment 2070646
sasahivi yupo msalabani peke yakeExactly,ye anasikiliza ushauri wa vimada wake kina Slowly
Hiyo ndio KARMA mkuu, huyu mgogo ana roho mbaya sana.Ndugai kudhulumu haki ya Lissu na CAG havitamuacha salama
Mlifurahi alichomfanyia Tundu Lisu?Ndugai kawa kama Sabaya na Makonda ni watoto YATIMA ambao walipendwa sana na baba yao sasa wameachwa kwa mama wa kambo mwenye watoto wake.
acha tugonge mtori nyama tutakutana nazo chini
Duh!Hadi huyu Kibajaj? Kweli mwisho umekaribia
Malipo ni hapa hapa duniani. Mungu wetu ni kijana mnoo.. Kuna alie ua watu sasa nae kesha oza. Ndugai akiona uspika kama Mungu wa mjengoni. Leo ana sulubiwa, Lissu ana kula bata. Yaani, Ccm mtafika motoni mkiwa mmechoka sana.
Hahahaaaaa![emoji23][emoji23][emoji117] wanakuona na wanakusikiaMgogo sawa na mmakonde. Msaidie chochote kesho hata sura yako haikumbuki.
Nimekua Dodoma vile vile nimekaa Mtwara na mikoa mingine mingi.
Shy , Toronto, that etc