ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Serikali ilete majibu ya pesa Tilioni 280 zimeibwa na nani?
My Take
Tukiwa na wabunge wadadisi kama Mpina Nchi itanyooka tuu.
---
"Sekta ya fedha hapa nchini na kwa ukanda wa SADC tunategemea dola, dola hakuna na zimeadimika. Wafanyabiashara hawapati dola na hawawezi kuagiza mizigo,katika hili tujiulize tunafanyaje?" - Mhe. Luhaga Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa
"Maelezo yanayotolewa na serikali ni kwamba uwekezaji umeongezeka mara dufu, watalii nao wameongeza maradufu. Dola zimeenda wapi kama uwekezaji umeongezeka, watalii wameongezeka na mauzo ya nje yameongezeka. Serikali itatue changamoto ya kuadimika kwa dola" - Mhe. Luhaga Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa

MBUNGE LUHAGA MPINA ALIA NA UHABA WA DOLA