Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Ujinga mwingine bana, mtu ambaye akili yake ni ya kiwango cha kutembea na rula mfukoni ili kupima urefu wa samaki Wa kitoweo Kwa mama ntilie, leo anapata wapi akili ya kuhoji ilipo trilioni 280? Bajeti tu ya nchi kwa mwaka hazidi trilioni 31 ikiwa supported na donors kwa 60%.
Kama nchi Ina hizo trilioni 280 kama reserve kunakuwaga na haja gani ya kutembeza bakuli Kwa wazungu kila mwaka?