Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa amejiridhisha na Mchango wa Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuhusu maelekezo ya Waziri Mkuu Mhe.kutofanyiwa kazi na watendaji wa jeshi la Hifadhi.
Dkt. Tulia amesema hayo June 28,2023 Bunge, Dkt. Tulia amesema kuwa wakati Mpina akichangia na maneno aliyokuwa ameyasema alikuwa sahihi kwa sababu maelekezo yale ya Waziri Mkuu yalikuwa hayajaanza kufanyiwa kazi.
Dkt. Tulia amesema kuwa Mpina alileta vielelezo vyake ofisini kama alivyotakiwa na baada ya kupitia waligundua kuwa alikuwa sahihi hivyo hilo jambo linamalizwa kwa namna hiyo.