Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Mpina alikua Waziri... Lkn alihakikisha anawadhibiti wavuvi haramu kwelikweliHahahhaha wabunge wa hivyo CCM wapo wengi sana wote ni kufukuzia uwaziri tu. Bashe alikua anapambania wananchi sio kidogo bunge vipi baada ya uwaziri? Mwita Waitara wa kabla ya uwaziri na baada ya unaibu waziri wanafanana...
So, baada ya kukusoma nimepata swali kwako, je, tuzipuuze hoja zake anazotoa sasa kisa mbele atatugeuka kama akiupata uwaziri? au tumsikilize?Hahahhaha wabunge wa hivyo CCM wapo wengi sana wote ni kufukuzia uwaziri tu. Bashe alikua anapambania wananchi sio kidogo bunge vipi baada ya uwaziri? Mwita Waitara wa kabla ya uwaziri na baada ya unaibu waziri wanafanana...
Mpina hajaanza leo hii haiba ila Magufuli tuu ndie alimpoteza kwenye uwaziriHahahhaha wabunge wa hivyo CCM wapo wengi sana wote ni kufukuzia uwaziri tu. Bashe alikua anapambania wananchi sio kidogo bunge vipi baada ya uwaziri? Mwita Waitara wa kabla ya uwaziri na baada ya unaibu waziri wanafanana...
😂😂😂😂😂Ngoja alambishwe asali
Atatulia mwenyewe
Ova
Mpina hawezi kulamba Asali kizembe. Namkumbuka alifanya vizuri sana enzi zile yupo na mwamba Deo filikunjombe pale mjengoniNgoja alambishwe asali
Atatulia mwenyewe
Ova
Uko sahihi kabisa, kumshabikia mtu ambaye misimamo yake inabadilika kutokana na ulaji ni kupoteza Muda. Kibaya zaidi hilo bunge kwa sasa halina meno.Hahahhaha wabunge wa hivyo CCM wapo wengi sana wote ni kufukuzia uwaziri tu. Bashe alikua anapambania wananchi sio kidogo bunge vipi baada ya uwaziri? Mwita Waitara wa kabla ya uwaziri na baada ya unaibu waziri wanafanana...
Case closed.Hahahhaha wabunge wa hivyo CCM wapo wengi sana wote ni kufukuzia uwaziri tu. Bashe alikua anapambania wananchi sio kidogo bunge vipi baada ya uwaziri? Mwita Waitara wa kabla ya uwaziri na baada ya unaibu waziri wanafanana...
Hebu yalist hapa tuone kama mambo mapya kabisa😂😂2025 napeperusha bendera sio utani. Nahitaji kufanya mabadiriko katika jimbo la Mbozi.
Huyu mtu alituchomea nyavu zetu na alituacha masikini kabisa sitaki kumsikia kabisa.Leo hii ukiulizwa mbunge maarufu Tanzania kwa kujenga hoja zenye mantiki hutakosa kumtaja mbunge Mpina...
Naunga mkono hoja, na kwa geopolitics za nchi yetu, mmoja kati ya wawili hawa, VP na PM wa 2025 lazima atoke Kanda ya Ziwa!, huu sio ubaguzi na wala sio mimi, hii ni geopolitics ya siasa za nchi yetu.Leo hii ukiulizwa mbunge maarufu Tanzania kwa kujenga hoja zenye mantiki hutakosa kumtaja mbunge Mpina...
Aliwatia umaskini wavuvi wa nchi hii. Hatautaki hata kumsikia sisi wavuvi tulifika hatua tukamuomba mungu amfanye kama alivyomfanya bosi wakeMpina alikua Waziri... Lkn alihakikisha anawadhibiti wavuvi haramu kwelikweli
Unajua uongozi wa Damuni, haunaga mbambamba..