Hiyo kanda ni ngome ya chadema kitambo, na mnavyowabagua kuwaita majina mabaya ndio mnajiharibia kabisa.Anashinda kwa kura za wapi?. Do you know kuna Kanda fulani ndio Kanda determinant ya kura za urais?. Watampa Abubakar huyo?. I doubt!.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo kanda ni ngome ya chadema kitambo, na mnavyowabagua kuwaita majina mabaya ndio mnajiharibia kabisa.Anashinda kwa kura za wapi?. Do you know kuna Kanda fulani ndio Kanda determinant ya kura za urais?. Watampa Abubakar huyo?. I doubt!.
P
Anataka nianze kupiga kampeni kabla hazijaanza. Katiba hairuhusu asubiri muda wa kampeni ufike.Kazi kwako mheshimiwa wa Mbozi, jimbo linataka kukuponyoka hilo
Hawa vilaza waliotamalaki humu JF ya sasa, ni shidah!. Uelewa wao ni matatizo!.Chawa hawaeleweki kabisa, mara Mama apishe mwanaume kwanza 2015 mara mama atashinda urais... Tushike lipi?
Kanda ipi paskali? Kuna Uzi nauandaa (Mrefu sana) nitaonyesha Kwa takwimu jinsi Gani Kanda ya ziwa haiamui Rais maana kura ni chini ya 35% however inaonyesha pia Kanda ya ziwa haipigi kura kama block maana Kuna mikoa kma Mara, Kagera, Mwanza (isomeke Ukerewe) imekua ikipigia upinzani zaidi whether mgombea Urais alitokea Kanda hiyo or not so usiwafungamanishe kabisa.Anashinda kwa kura za wapi?. Do you know kuna Kanda fulani ndio Kanda determinant ya kura za urais?. Watampa Abubakar huyo?. I doubt!.
P
Uzi ukikamilika please tag me.Kanda ipi paskali? Kuna Uzi nauandaa (Mrefu sana) nitaonyesha Kwa takwimu jinsi Gani Kanda ya ziwa haiamui Rais maana kura ni chini ya 35% however inaonyesha pia Kanda ya ziwa haipigi kura kama block maana Kuna mikoa kma Mara, Kagera, Mwanza (isomeke Ukerewe) imekua ikipigia upinzani zaidi whether mgombea Urais alitokea Kanda hiyo or not so usiwafungamanishe kabisa.
Hii propaganda kuwa Kanda ya ziwa ni CCM au ndio inawauma Rais tuiache ni misleading kabisa. Ni kama Kenya wanadai Kikuyu ndio wanaamua Rais ilihali ni 25% pekee ya wapiga kura wote!!
Au urundiHuyu angekuwa mbunge wa kuteuliwa leo hii tungesikia kapewa ubalozi Zimbabwe.
At least wanawapigania wananchi. Mbowe amelamba asali kidogo, tayari hajali... Halafu mnataka tuwaachie nchi! Mara million CCM.Hahahhaha wabunge wa hivyo CCM wapo wengi sana wote ni kufukuzia uwaziri tu. Bashe alikua anapambania wananchi sio kidogo bunge vipi baada ya uwaziri? Mwita Waitara wa kabla ya uwaziri na baada ya unaibu waziri wanafanana?
Hao CCM ni wachumia tumbo hakuna ambaye yupo serious. Kina Kabudi, Bashiru, na Polepole wawe funzo kwetu. Walipigania katiba ila walipopata umaarufu Hadi kupewa vitengo wakakana umuhimu wa katiba mpya!!
So tusubiri Tena Mpina apate unaibu waziri akane hizi kauli zake then turudi hapa kulialia kuwa kateguka.
Leo hii ukiulizwa mbunge maarufu Tanzania kwa kujenga hoja zenye mantiki hutakosa kumtaja mbunge Mpina.
Amezichanga karata vizuri akatumia nafasi yake vizuri katika kipindi hichi wala hakuchagua kuketi upande wa walamba asali.
Ameamua kusimama pamoja na wananchi wa Tanzania. Amezibeba kero; na mioyo ya watanzania. Ndio maana hakosi vitu vya kuongea hakosi point za kuongea akiwa bungeni.
Hongera kwa kuzisoma nyakati. Enzi zile tulikua na wakina Tundu Lissu leo hii tuna wakina Luhaga Mpina.
Sioni kama kelele za wanaharakati mitandaoni zitakuwa na same impact sawa na zile zinazopigwa bungeni.Nani ataziba pengo? HAYUPO maana CCM ndio Ina wabunge 95% na wote hao wako pale sababu ya kulinda maslahi ya serikali. Ni kheri tutegemee hata wanaharakati, waandishi wa habari kupaza sauti kwenye matatizo yetu ila sio mbunge wa CCM wanatuchora tu wale maana wametugeuka sana Kila tulipowaamini.
Nani kapigania nchi? Huyo Mpina bajeti iliyopita alipiga kura ya NDIO!! Eti Leo hii shujaaAt least wanawapigania wananchi. Mbowe amelamba asali kidogo, tayari hajali... Halafu mnataka tuwaachie nchi! Mara million CCM.