Mbunge Mabula aomba barabara ya Kenyatta ianze kujengwa njia nne kuungana na daraja la Busisi

Mbunge Mabula aomba barabara ya Kenyatta ianze kujengwa njia nne kuungana na daraja la Busisi

Serikali hii ya Ccm niyaajabu sana mimi nimeshangaa kuona bajeti hii halafu barabara hiyo haimo.Kwa jiji la Mwanza nibora waache miradi yote ya ujenzi wajenge kwanza hiyo barabara.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Mbunge kaiona ndiyo maana kaisemea inawezekana akashika shilingi huko mbele
 
Wewe mvaa Madera acha mawazo ya kingese kwenye mada za wanaume,fala wewe!

Kaongee na wavaa Madera wenzako mgombee ukaribu na mwenyekiti wenu.
Piga sarakasi ,wajinga wakubwa nyie si mlishamgilia daraja ,haya safirini kwenye daraja basi
 
Mwanza inahitaji hiyo barabara. Nilipita hapo juzi, kwakwli inasikitisha barabara ni finyu.
 
Kwa nini hakuomba Kwa Mwendazake? 😁😁

Asubirie kwanza Hadi 2024/25 ndio itawekwa kwenye Mpango.
Tuliokuwa tunakaa Mwanza tunajua ya Kwamba Miaka ya 2018 na 2019 Wenyeviti wa Mitaa inayopakana na Barabara ya Kenyatta waliitwa seminar zaidi ya mara mbili na Serikali wakielekezwa kuwaandaa wananchi wao hasa walio pembezoni na Barabara hiyo kujiandaa na ujenzi na ubomoaji utakaombatana na ujenzi huo. Nafikiri Mh. Mabula alikuwa anakumbushia "kiaina".
 
Back
Top Bottom