Tetesi: Mbunge machachari kutikisa siasa za Tanzania na kumwaga manyanga kabla ya Julai 24

Status
Not open for further replies.
Kinachonishangaza ni kwamba umekuwa mchangiaji wa kwanza kabisa kuchangia thread yako mwenyewe
 
Mkuu mbona una wasi wasi sana?

Mkuu Rutta;
Can yu define wasi wasi?? Umeniona wapi ukaona nkipepesa macho na midomo kutetema?? Sina wasi na ka ni wasi sintatishwa na maccm yalovimbirwa pilau la Idd. Andikeni mnachotaka lakini huyo mbunge, hatetemeshwi na maneno yenu mnayo andika kama kweli ni mpinzani. Aondoke zake hata kesho chama wala upinzani haufiii. Waliondoka madaktari wa falsafa, wakaondoka maprofesa wa uchumi. Uliona UKAWA ikitetereka?? Sembuse bwana flan aondoke UKAWA itetereke??
 
Straight ni Mnyika. So sad. Sasa ni kuvumiliana jamani. John Mnyika think twice please.
 
Vip ccm hata akiondoka mbowe watanzania tunahitaji maendeleo mlio tuhaidi Watanzania tulivyo wachagua kama mnamtaka myinyika pia mchukueni
 
Na awe tayari kuupoteza ubunge wake!
 
kuongea ndio nini ,wanasiasa wa tanzani ni kutanua mamidomo yao,kupayuka maneno ya hovyohovyo,tushachoka akaongelee chooni sasa tunataka maendeleo maneno hatutaki,kwanza mtu mwenyewe fomu six failure,akasome
 
Hakuna kitu kigumu Kama kula matapishi yako ...........namtakia kila la kheri huyo mbunge
 
TUSUBIRI AKIONGEA HATUJUI ATAONGEA NINI
Hata wewe KUWADI wake hujui ataongea nini na umekuja mitandaoni kusema ataongea?
Huyo ni mtu mmoja tu,na vyama kwa umoja wake vina mamilioni ya watu,na aliache jimbo na litarudi tena,wapigakura hawataliuza jimbo hilo kwasababu huyo alijua mipango yote na alishiriki na akaomba na ubunge kwa umoja huo huo akapata,amekula tu ela zenu za kwenda kusomea ila HATATINGISHA.
 
Et mtuhumiwa wa ufisadi wakati hata hatujawai sikia akifikishwa kizimbani hata mara 1 kujibu mashitaka.
 
Hahaa. Mkuu wangu, nimechomekea tu.

Siunajua njaa ikisumbua sana unatamani hata jirani asikaange ili usisikie harufu ya

mapochopocho?
Unamuogopa kitu gani huyo kwangu pakavu wa lumumba?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…