IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
Tusubiri! Umejuaje ni Mnyika? Una taarifa nini?
Hahaaa...fumbo mfumbie mjinga, mwerevu????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubiri! Umejuaje ni Mnyika? Una taarifa nini?
Kinachonishangaza ni kwamba umekuwa mchangiaji wa kwanza kabisa kuchangia thread yako mwenyeweWasalaam wana jamvi!
Niendelee kuwatakia sikukuu njema ya amani na furaha miongoni mwenu!
Wana jamvi kama mtakumbuka siasa za tanzania zilitikiswa mwaka jana kama mara tatu hivi
Mara ya kwanza ilikuwa ni mtuhumiwa wa ufisadi kuhami upande mwingine..wengi hawakutegemea kama atapokelewa.
Mara ya pili ilikuwa kwa nguli wa siasa na Mzalendo Dr Slaa kumwaga manyanga chanzo ikiwa ni kupinga ujio wa mtuhumiwa wa ufisadi kwenye chama chao na hakuwa tayari kushiriki dhambi ya kumsafisha!
Tatu ilikuwa ni pale Prof Msomi na nguli wa uchumi alipo kataa kushiriki dhambi ya kumsafisha mtuhumiwa wa ufisadi na kuamua kumwaga manyanga!
Sasa kabla ya tarehe 24 nchi itatekwa tena na taharuki ya aina yake baada ya mbunge kijana na machachari kuvunja ukimya na kuamua kumwaga manyanga!
Taarifa zinasema mbunge huyo amekuwa kimya kwa kipindi kirefu sana na amekuwa akizushiwa anaumwa ili ionekane hiyo ni sababu kuu!
Hata hivyo amekuwa akipata wakati mgumu sana hasa pale anapo lazimishwa kutoa matamko ili ionekane yupo pamoja nao na amekuwa akikataa na kusema sitaki kuongea na kusema fulani aongee..
Jambo hili limekuwa likiwatesa sana watu wake ndani ya umoja wao na chama chao kwani ukimya wake umekuwa ukizua maswali mengi na wamejaribu kila mbinu za kumlazimisha aongee lakini wameshindwa!
Jambo la kumlazimisha aongee limekuwa likimkera sana na amekuwa akiwa sisitiza kuwa yeye amechagua kunyamaza wasi mlazimishe!
Kibaya zaidi kuna mpango wa kumlazimisha kuongea kwenye mkutano fulani tarehe 24 ambao bado haujawa confirmed! Lakini baada ya kupata habari kuwa amepangwa kuongea na kusema hataki na wasimlazimishe kwani umoja una watu wengi wa kuongea!
Sasa habari zilizopo ana mpango wa kuongea na ataongea kinacho muumiza kabla ya tarehe 24 na atamwaga manyanga na kuachana na ubunge kabisa na kwenda kusoma nje ya nchi....
Baada ya viongozi wake kupata habari hizo wanahaha kumzuia asiongee huku wakitaka kujua anataka kuongea nini na wanampango wa kuhakikisha aengei chochote na wameshambembeleza sana lakini amesimama kuwa kwenye msimamo wako kuwa ataongea kabla ya tarehe 24!
Zina fanyika kila juhudi za kunusuru tukio hilo kwani wanasema litasambaratisha umoja huo kabisa.
Lakini amesisitiza kuwa hayuko tayari kushiriki siasa za kinafiki kamwe...!
Je watafanikiwa kumzuia?
Ni nani huyo?
Ataendelea kukaa kimya?
Ni kwañini hawataki aongee?
Wana jamvi muda huongea tusubiri!
Karibuni wana jamvi!
Mkuu mbona una wasi wasi sana?
kuongea ndio nini ,wanasiasa wa tanzani ni kutanua mamidomo yao,kupayuka maneno ya hovyohovyo,tushachoka akaongelee chooni sasa tunataka maendeleo maneno hatutaki,kwanza mtu mwenyewe fomu six failure,akasomeWasalaam wana jamvi!
Niendelee kuwatakia sikukuu njema ya amani na furaha miongoni mwenu!
Wana jamvi kama mtakumbuka siasa za tanzania zilitikiswa mwaka jana kama mara tatu hivi
Mara ya kwanza ilikuwa ni mtuhumiwa wa ufisadi kuhami upande mwingine..wengi hawakutegemea kama atapokelewa.
Mara ya pili ilikuwa kwa nguli wa siasa na Mzalendo Dr Slaa kumwaga manyanga chanzo ikiwa ni kupinga ujio wa mtuhumiwa wa ufisadi kwenye chama chao na hakuwa tayari kushiriki dhambi ya kumsafisha!
Tatu ilikuwa ni pale Prof Msomi na nguli wa uchumi alipo kataa kushiriki dhambi ya kumsafisha mtuhumiwa wa ufisadi na kuamua kumwaga manyanga!
Sasa kabla ya tarehe 24 nchi itatekwa tena na taharuki ya aina yake baada ya mbunge kijana na machachari kuvunja ukimya na kuamua kumwaga manyanga!
Taarifa zinasema mbunge huyo amekuwa kimya kwa kipindi kirefu sana na amekuwa akizushiwa anaumwa ili ionekane hiyo ni sababu kuu!
Hata hivyo amekuwa akipata wakati mgumu sana hasa pale anapo lazimishwa kutoa matamko ili ionekane yupo pamoja nao na amekuwa akikataa na kusema sitaki kuongea na kusema fulani aongee..
Jambo hili limekuwa likiwatesa sana watu wake ndani ya umoja wao na chama chao kwani ukimya wake umekuwa ukizua maswali mengi na wamejaribu kila mbinu za kumlazimisha aongee lakini wameshindwa!
Jambo la kumlazimisha aongee limekuwa likimkera sana na amekuwa akiwa sisitiza kuwa yeye amechagua kunyamaza wasi mlazimishe!
Kibaya zaidi kuna mpango wa kumlazimisha kuongea kwenye mkutano fulani tarehe 24 ambao bado haujawa confirmed! Lakini baada ya kupata habari kuwa amepangwa kuongea na kusema hataki na wasimlazimishe kwani umoja una watu wengi wa kuongea!
Sasa habari zilizopo ana mpango wa kuongea na ataongea kinacho muumiza kabla ya tarehe 24 na atamwaga manyanga na kuachana na ubunge kabisa na kwenda kusoma nje ya nchi....
Baada ya viongozi wake kupata habari hizo wanahaha kumzuia asiongee huku wakitaka kujua anataka kuongea nini na wanampango wa kuhakikisha aengei chochote na wameshambembeleza sana lakini amesimama kuwa kwenye msimamo wako kuwa ataongea kabla ya tarehe 24!
Zina fanyika kila juhudi za kunusuru tukio hilo kwani wanasema litasambaratisha umoja huo kabisa.
Lakini amesisitiza kuwa hayuko tayari kushiriki siasa za kinafiki kamwe...!
Je watafanikiwa kumzuia?
Ni nani huyo?
Ataendelea kukaa kimya?
Ni kwañini hawataki aongee?
Wana jamvi muda huongea tusubiri!
Karibuni wana jamvi!
Hata wewe KUWADI wake hujui ataongea nini na umekuja mitandaoni kusema ataongea?TUSUBIRI AKIONGEA HATUJUI ATAONGEA NINI
Kisa kakaa kimya muda mrefu ndio inaonesha ni yeye kabisa.!Straight ni Mnyika. So sad. Sasa ni kuvumiliana jamani. John Mnyika think twice please.
Mkuu naona wewe unataka polisi wote wahamie dodoma,maana wakisikia bavicha basi ofisini hapakalikiAngalia utasubiri sana Bavicha wapo Dodoma tarehe 23
Unamuogopa kitu gani huyo kwangu pakavu wa lumumba?Hahaa. Mkuu wangu, nimechomekea tu.
Siunajua njaa ikisumbua sana unatamani hata jirani asikaange ili usisikie harufu ya
mapochopocho?
Tangu ngosha aingie magogoni sasa hivi kawapunguza,na walio omba kubakia lumumba basi wanapokea buku 2Hivi kutoka buku 7 imekuwa buku 2?
Wanadanganyana tu...AKWENDE ZAKE...KWANI CHAMA NI YEYE?....CDM IMARA ACHA AJIDANGANYE...
ajabu sana kwani huyu ndo atatikisa chama?
Kuondoka kwa slaa kulipa cdm faida ya kuongeza wabunge wengiKama Slaa aliondoka na hakuna alichobadili huyu hatuogopi kabisa