Tetesi: Mbunge machachari kutikisa siasa za Tanzania na kumwaga manyanga kabla ya Julai 24

Status
Not open for further replies.
Au walimaanisha mpendazoe.
Walisema kwenye mkutano wa CCM Dodoma kuna mbunge wa upinzani atabwaga manyanga. Mkutano umeisha wameambulia Mpendazoe, Msindai na Wolper. Inaonyesha CCM wana fungu kubwa LA kununua wabunge wa upinzani, wakiwakosa wanachukua wanamaigizo
 
Zilongwa Mbali Zitendwa Mbali
Msambaa Mmoja Havunji Soko!

Hadithi Hizi Haziwezi Kutuondolea Uthubutu
Kaondoka Dr Mihogo Na Chama Liko Poa
Huku Hakuna Misemo Ya Ng'ombe Akikatika Mkia Machungoni
 
Naona ukajipange upya na utabili wako, njaa itakutoa haya.
 
Hiziii...
Zilikua ndoto za Advocate Msomi UCHWARA
 
Hii post ya July 7, mpaka leo mbunge machachari hajabwaga manyanga. Au hamkutoa fungu la kutosha?

hivi hamkuwaelewa? vijana walipewa kazi ya kuufanya mkutano uwe maarufu. hii ilikuwa njia mojawapo!
 
baada ya lizaboni kuaabika ni zamu ya hili gamba nalo chali uvccm habar zao huwa hazina ukamilifu na uhakiki yanakurupuka tu
 
Mkutano wa dharura uliofanyika jana TAREHE 23 ukihusisha kamati kuu ya chama, moja ya ajenda ilikuwa kujaribu kumshawishi 'bwana mdogo' afikirie mara mbili uamuzi wake.
Pamoja na mengineyo lakini bado 'bwana mdogo' ana ghubu/dukuduku moyoni na ameomba apewe muda kisha atatoa taarifa kamili juu ya mustakabali wa chama.

Kwahiyo mleta mada Ruttashobolwa hujakosea ktk udadisi wako maana MKUTANO WA JANA WA DHARURA MOJA YA AJENDA ILIKUWA NI KUJARIBU KUZUIA HILO,,,LIMEFANIKIWA KWA SIKU HIYO LAKINI BADO HALIJAPA MUAFAKA WA KUDUMU..!!
 

Yaani mnazidi kumaliza tu pesa za walipa kodi yaani na huyo naye wasiyo na mikia wameamua kumlipiia deni lake kwa masharti ya kipuuzi kama hayo?
 
Aliondoka Slaa mtu namba 1 ktk chama akaondoka lipumba namba 1 ktk chama umoja ukazidi kuimarika ije bwana mdogo huyu? Mbona kachelewa sn? Ukawa ni yawanachini sio ya mtu fulani eti machachari! machachari kuliko Zitto ambae hata pengo lake halikuonekana?
 
Vipi tarehe 24 bado au mbunge mwenyewe ni mzee kagenzi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…