Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mmempokea wolpaaaaTUSUBIRI AKIONGEA HATUJUI ATAONGEA NINI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmempokea wolpaaaaTUSUBIRI AKIONGEA HATUJUI ATAONGEA NINI
Kabisa mwenyewe nimekwambia kuwa anatuhabisha wahayaAlikuwa wolper...
Hahahahaha...lutashobolwa unatuhaibisha wahaya...hatuko hivyo.
Mkuu si ni Mpendazoo..... ha haaa haaaaa ..... kaz kweli kweliTarehe 24 bado? Au ni mwendelezo wa porojo za Lizabani na Luhwavi kuondolewa ?
Wasalaam wana jamvi!
Niendelee kuwatakia sikukuu njema ya amani na furaha miongoni mwenu!
Wana jamvi kama mtakumbuka siasa za tanzania zilitikiswa mwaka jana kama mara tatu hivi
Mara ya kwanza ilikuwa ni mtuhumiwa wa ufisadi kuhami upande mwingine..wengi hawakutegemea kama atapokelewa.
Mara ya pili ilikuwa kwa nguli wa siasa na Mzalendo Dr Slaa kumwaga manyanga chanzo ikiwa ni kupinga ujio wa mtuhumiwa wa ufisadi kwenye chama chao na hakuwa tayari kushiriki dhambi ya kumsafisha!
Tatu ilikuwa ni pale Prof Msomi na nguli wa uchumi alipo kataa kushiriki dhambi ya kumsafisha mtuhumiwa wa ufisadi na kuamua kumwaga manyanga!
Sasa kabla ya tarehe 24 nchi itatekwa tena na taharuki ya aina yake baada ya mbunge kijana na machachari kuvunja ukimya na kuamua kumwaga manyanga!
Taarifa zinasema mbunge huyo amekuwa kimya kwa kipindi kirefu sana na amekuwa akizushiwa anaumwa ili ionekane hiyo ni sababu kuu!
Hata hivyo amekuwa akipata wakati mgumu sana hasa pale anapo lazimishwa kutoa matamko ili ionekane yupo pamoja nao na amekuwa akikataa na kusema sitaki kuongea na kusema fulani aongee..
Jambo hili limekuwa likiwatesa sana watu wake ndani ya umoja wao na chama chao kwani ukimya wake umekuwa ukizua maswali mengi na wamejaribu kila mbinu za kumlazimisha aongee lakini wameshindwa!
Jambo la kumlazimisha aongee limekuwa likimkera sana na amekuwa akiwa sisitiza kuwa yeye amechagua kunyamaza wasi mlazimishe!
Kibaya zaidi kuna mpango wa kumlazimisha kuongea kwenye mkutano fulani tarehe 24 ambao bado haujawa confirmed! Lakini baada ya kupata habari kuwa amepangwa kuongea na kusema hataki na wasimlazimishe kwani umoja una watu wengi wa kuongea!
Sasa habari zilizopo ana mpango wa kuongea na ataongea kinacho muumiza kabla ya tarehe 24 na atamwaga manyanga na kuachana na ubunge kabisa na kwenda kusoma nje ya nchi....
Baada ya viongozi wake kupata habari hizo wanahaha kumzuia asiongee huku wakitaka kujua anataka kuongea nini na wanampango wa kuhakikisha aengei chochote na wameshambembeleza sana lakini amesimama kuwa kwenye msimamo wako kuwa ataongea kabla ya tarehe 24!
Zina fanyika kila juhudi za kunusuru tukio hilo kwani wanasema litasambaratisha umoja huo kabisa.
Lakini amesisitiza kuwa hayuko tayari kushiriki siasa za kinafiki kamwe...!
Je watafanikiwa kumzuia?
Ni nani huyo?
Ataendelea kukaa kimya?
Ni kwañini hawataki aongee?
Wana jamvi muda huongea tusubiri!
Karibuni wana jamvi!
Naona safari hii CCM labda kweli mtafanikiwa. Yaani mnawapiga wenzenu marufuku kufanya kazi za siasa kisha nyie mnaendelea kufanya shughuli zenu huku mkitumia matangazo live kuwasema, na kuonyesha kwamba wanachama wao wanahamia chama chenu?? what a shame! chama kikongwe lakini kinatumia mbinu za kizamani kabisa! Kama kweli mnataka kupambana kisiasa na washindani wenu ambao mnawaingiza kwenye ajenda wakati wa mikutano yenu, basi waacheni nao huru wafanye siasa. If you can't, acheni kabisa kuwasema kwa kitu chochote. Huwezi kumfunga mwenzako kamba mikono yote miwili kisha ukaanza kumshambulia kwa ngumi na mateke huku ukimcheka kwamba ni dhaifu kwa vile hajibu mapigo! shame.... kwa wapenda demokrasia.
JPM kawaita wale waliorudi ccm ni Ng'ombe kasoro mkiaView attachment 370821
Mkuu, sijamsikia, lakini nitashangaa sana kwa nini kuwaita hivyo. Kila mtu ana uhuru wa kuwa kwenye chama anachokitaka. Kwa hiyo kuhama ni jambo la kawaida sana.
JPM kasema hawezi kuingia zizi kwa kuwa hawana mikia,na hata kama watarudi Ng'ombe waliomo zizini watawajua tu kuwa hawa hawana mikia,yaani ni.ng'ombe kasoro mikia!!!
Huyu nawe atengeneze filam aigize kama ng'ombe asiye na mkia
HUENDA ALIMAANISHA "JACKLINE WOLPER".