bantu.garage
JF-Expert Member
- Oct 13, 2015
- 1,436
- 503
Kwa hiyo...............na ..............wanajulikana na wenzao hawana mikia.Swali....Je.!hao wenzao wanayo elimu ya kutokuwanyanyapaa kwa ulemavu huo...????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni ramli tu mkuu , hakuna kitu kama hicho ...mmefeli kwa kila kituMkutano wa dharura uliofanyika jana TAREHE 23 ukihusisha kamati kuu ya chama, moja ya ajenda ilikuwa kujaribu kumshawishi 'bwana mdogo' afikirie mara mbili uamuzi wake.
Pamoja na mengineyo lakini bado 'bwana mdogo' ana ghubu/dukuduku moyoni na ameomba apewe muda kisha atatoa taarifa kamili juu ya mustakabali wa chama.
Kwahiyo mleta mada Ruttashobolwa hujakosea ktk udadisi wako maana MKUTANO WA JANA WA DHARURA MOJA YA AJENDA ILIKUWA NI KUJARIBU KUZUIA HILO,,,LIMEFANIKIWA KWA SIKU HIYO LAKINI BADO HALIJAPA MUAFAKA WA KUDUMU..!!
Duh! Mapenzi mengine ni balaa. Mtu wa kuhama chama anapewa hata jukumu la kupeleka kesi against uongozi uliopo madarakani ambako ndiko atahamia, leo "anashawishiwa" kubadili nia ya kuondoka??? Hii singeli naona ishabuma, leteni nyingine.Mkutano wa dharura uliofanyika jana TAREHE 23 ukihusisha kamati kuu ya chama, moja ya ajenda ilikuwa kujaribu kumshawishi 'bwana mdogo' afikirie mara mbili uamuzi wake.
Pamoja na mengineyo lakini bado 'bwana mdogo' ana ghubu/dukuduku moyoni na ameomba apewe muda kisha atatoa taarifa kamili juu ya mustakabali wa chama.
Kwahiyo mleta mada Ruttashobolwa hujakosea ktk udadisi wako maana MKUTANO WA JANA WA DHARURA MOJA YA AJENDA ILIKUWA NI KUJARIBU KUZUIA HILO,,,LIMEFANIKIWA KWA SIKU HIYO LAKINI BADO HALIJAPA MUAFAKA WA KUDUMU..!!
Endelea kutumika kama toilet paper,FYI wenzako wamebase kwenye mfumo,itikadi,falsafa,mrengo na siyo mtu kama huko kwenye stomach seekers and thinkers.Wasalaam wana jamvi!
Niendelee kuwatakia sikukuu njema ya amani na furaha miongoni mwenu!
Wana jamvi kama mtakumbuka siasa za tanzania zilitikiswa mwaka jana kama mara tatu hivi
Mara ya kwanza ilikuwa ni mtuhumiwa wa ufisadi kuhami upande mwingine..wengi hawakutegemea kama atapokelewa.
Mara ya pili ilikuwa kwa nguli wa siasa na Mzalendo Dr Slaa kumwaga manyanga chanzo ikiwa ni kupinga ujio wa mtuhumiwa wa ufisadi kwenye chama chao na hakuwa tayari kushiriki dhambi ya kumsafisha!
Tatu ilikuwa ni pale Prof Msomi na nguli wa uchumi alipo kataa kushiriki dhambi ya kumsafisha mtuhumiwa wa ufisadi na kuamua kumwaga manyanga!
Sasa kabla ya tarehe 24 nchi itatekwa tena na taharuki ya aina yake baada ya mbunge kijana na machachari kuvunja ukimya na kuamua kumwaga manyanga!
Taarifa zinasema mbunge huyo amekuwa kimya kwa kipindi kirefu sana na amekuwa akizushiwa anaumwa ili ionekane hiyo ni sababu kuu!
Hata hivyo amekuwa akipata wakati mgumu sana hasa pale anapo lazimishwa kutoa matamko ili ionekane yupo pamoja nao na amekuwa akikataa na kusema sitaki kuongea na kusema fulani aongee..
Jambo hili limekuwa likiwatesa sana watu wake ndani ya umoja wao na chama chao kwani ukimya wake umekuwa ukizua maswali mengi na wamejaribu kila mbinu za kumlazimisha aongee lakini wameshindwa!
Jambo la kumlazimisha aongee limekuwa likimkera sana na amekuwa akiwa sisitiza kuwa yeye amechagua kunyamaza wasi mlazimishe!
Kibaya zaidi kuna mpango wa kumlazimisha kuongea kwenye mkutano fulani tarehe 24 ambao bado haujawa confirmed! Lakini baada ya kupata habari kuwa amepangwa kuongea na kusema hataki na wasimlazimishe kwani umoja una watu wengi wa kuongea!
Sasa habari zilizopo ana mpango wa kuongea na ataongea kinacho muumiza kabla ya tarehe 24 na atamwaga manyanga na kuachana na ubunge kabisa na kwenda kusoma nje ya nchi....
Baada ya viongozi wake kupata habari hizo wanahaha kumzuia asiongee huku wakitaka kujua anataka kuongea nini na wanampango wa kuhakikisha aengei chochote na wameshambembeleza sana lakini amesimama kuwa kwenye msimamo wako kuwa ataongea kabla ya tarehe 24!
Zina fanyika kila juhudi za kunusuru tukio hilo kwani wanasema litasambaratisha umoja huo kabisa.
Lakini amesisitiza kuwa hayuko tayari kushiriki siasa za kinafiki kamwe...!
Je watafanikiwa kumzuia?
Ni nani huyo?
Ataendelea kukaa kimya?
Ni kwañini hawataki aongee?
Wana jamvi muda huongea tusubiri!
Karibuni wana jamvi!
Teh teh! chadema wakiuona uzi huu watatamani ardhi ipasuke,
Ruttagongwa umeaibikaaaa! Yaani mbunge machachari awe Mpendazoe? Kishapu kwenyewe tulishamwona msaliti sasa huko kwenu amerudi anaitwa ngombe aliyekatwa mkia! Atajuta kuijua ccm! Mhaya mjinga umejidhalilisha sana!TUSUBIRI AKIONGEA HATUJUI ATAONGEA NINI
Kumbe alikuwa Mpendazoe 😀😀😀
Ruttashobolwa July 24 HAIJAFIKA bado?Mbona huyo Mbunge machachri wa kuhamia CCM hatujamuona?
AhahahaNg'ombe kasoro mkia,JPM bwana kwa kutukana watu kisirisiri hajambo sana
Umeaibika sana kwa kutunga hekaya zisizo na mashikoWasalaam wana jamvi!