Tetesi: Mbunge machachari kutikisa siasa za Tanzania na kumwaga manyanga kabla ya Julai 24

Status
Not open for further replies.
Kwa hiyo...............na ..............wanajulikana na wenzao hawana mikia.Swali....Je.!hao wenzao wanayo elimu ya kutokuwanyanyapaa kwa ulemavu huo...????
 
Hiyo ni ramli tu mkuu , hakuna kitu kama hicho ...mmefeli kwa kila kitu
 
Duh! Mapenzi mengine ni balaa. Mtu wa kuhama chama anapewa hata jukumu la kupeleka kesi against uongozi uliopo madarakani ambako ndiko atahamia, leo "anashawishiwa" kubadili nia ya kuondoka??? Hii singeli naona ishabuma, leteni nyingine.
 
Endelea kutumika kama toilet paper,FYI wenzako wamebase kwenye mfumo,itikadi,falsafa,mrengo na siyo mtu kama huko kwenye stomach seekers and thinkers.
Mfumo na mengineyo ndiyo kinaleta imani kwa wananchi ambao ni wakuigwa na wengine na siyo Comedy na kiini macho kama kule Dom.
Kitu pekee kinachoweza kuturudisha nyuma na kutafuta mbadala wa kutafuta ukombozi wa nchi iliyokubuhu kwa umasikini,ujinga,maradhi,ufisadi
kwa sisi makanda ni kufa kwa chama na siyo kufa kwa mtu au kuondoka kwa mtu this will be nonsense ideas.
Wakati mwinginie mnapolipwa kupost utumbo na ukishiba siyo lazima utoe hewa chafu otherwise umelishwa hata kibudu pasipo kujua kisa Tumbo.
Ondoka naye huyo umsemaye mkasome naye and go to the hell.....huku siyo show ya mtu mmoja/not one man show as it is there.
 
Teh teh! chadema wakiuona uzi huu watatamani ardhi ipasuke,

Mara nyingi Fisi akimuona binadamu anatembea usiku hufikiri mikono yake yaweza kudondoka wakati wowote hivyo huamua kumfatilia ili akidondosha tu afaidi kuila cha ajabu binadamu hufika kwake salama na mikono haidondoki.
 
TUSUBIRI AKIONGEA HATUJUI ATAONGEA NINI
Ruttagongwa umeaibikaaaa! Yaani mbunge machachari awe Mpendazoe? Kishapu kwenyewe tulishamwona msaliti sasa huko kwenu amerudi anaitwa ngombe aliyekatwa mkia! Atajuta kuijua ccm! Mhaya mjinga umejidhalilisha sana!
 
Leo ni July 25 nahisi utabiri wako mkuu umeshindwa so tuletee utabiri mwengine.
 
Eti kabla ya tarehe 24 July, Leo ni 25 mbona hakuna chochote? Ifikie wakati watu wanaotoa tetesi za kutunga kama hizi waadhibiwe.
 
Nashindwa kuelewa kwanini admins wa JamiiForums wanalea members wanàotoa nyuzi za kujitafutia kick kama hizi. Please moderator futa uzi huu na kumpiga ban ya kutosha huyu mpotoshaji Ruttashobolwa kwa kuanzisha nyuzi za uchochezi. Kwa nini mnalea wachochezi.
 
Umeaibika sana kwa kutunga hekaya zisizo na mashiko
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…