Tetesi: Mbunge machachari kutikisa siasa za Tanzania na kumwaga manyanga kabla ya Julai 24

Status
Not open for further replies.
Tarehe 24 bado? Au ni mwendelezo wa porojo za Lizabani na Luhwavi kuondolewa ?
 
Wana msemo wao huwa wanasema "Time will tell" hahahaha muda buana...
 
hawa viwavi wa ccm utawajuwa tu huyo Ruta sijui kitu gani eti mganga wa kienyeji for years anaomba dua zinazomrudia mwenyewe
 


Wewe mtu ulishapoteza credibility yakobaada ya kugeuza gia angani. Mara upinzani mara chama tawala, wala hueleweki. Haya leo ni th 25....huyo wa kuongea th 24 kapotea njia?
 
Naona safari hii CCM labda kweli mtafanikiwa. Yaani mnawapiga wenzenu marufuku kufanya kazi za siasa kisha nyie mnaendelea kufanya shughuli zenu huku mkitumia matangazo live kuwasema, na kuonyesha kwamba wanachama wao wanahamia chama chenu?? what a shame! chama kikongwe lakini kinatumia mbinu za kizamani kabisa! Kama kweli mnataka kupambana kisiasa na washindani wenu ambao mnawaingiza kwenye ajenda wakati wa mikutano yenu, basi waacheni nao huru wafanye siasa. If you can't, acheni kabisa kuwasema kwa kitu chochote. Huwezi kumfunga mwenzako kamba mikono yote miwili kisha ukaanza kumshambulia kwa ngumi na mateke huku ukimcheka kwamba ni dhaifu kwa vile hajibu mapigo! shame.... kwa wapenda demokrasia.
 

JPM kawaita wale waliorudi ccm ni Ng'ombe kasoro mkia
 
Mkuu, sijamsikia, lakini nitashangaa sana kwa nini kuwaita hivyo. Kila mtu ana uhuru wa kuwa kwenye chama anachokitaka. Kwa hiyo kuhama ni jambo la kawaida sana.

JPM kasema hawezi kuingia zizi kwa kuwa hawana mikia,na hata kama watarudi Ng'ombe waliomo zizini watawajua tu kuwa hawa hawana mikia,yaani ni.ng'ombe kasoro mikia!!!kwa lugha rahisi watu wanaohamahama vyama ni Malaya wa Kusiasa a.k.a Ng'ombe kasoro Mkia.
 
JPM kasema hawezi kuingia zizi kwa kuwa hawana mikia,na hata kama watarudi Ng'ombe waliomo zizini watawajua tu kuwa hawa hawana mikia,yaani ni.ng'ombe kasoro mikia!!!

Wanajitakia wenyewe kuitwa ng'ombe wasiokuwa na mikia! walihama kufanya nini? kama unaipenda CCM na unaamini kutoka katika moyo wako kwamba ni chama mahiri na kina sera zanazowaletea watanzania maendeleo, kwa nini uhame????
 
Hata wewe Ruttashoborwa ni miongoni mwsa wanaomzushia JJ Mnyika hata hili nalo umemzushia ni taahira pekee anaweza kukubaliana na uzushi wako
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…