Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haa haa ccm bwana. mara jj mnyila mgonjwa, mara anajiandaa kumwaga manyanga. mwaka huu tutaona mengi.
Mkuu, usishangae ulevi wa pilau za Eid una mambo mengi. Huyo kesha shiba analianzisha la ajabuajabu ili watu waseme!Maccm mnapataga faida gani kuuharibu upinzani?? Kueni jamani. Nchi bila upinzani haiongozekiiiiiiii. Ah! Yaani mna maudhi mpaka baasi tena.
Aseme atakalo. Aondoke kesho asubuhi. Tume ya uchaguzi ipime, muda ukifika turudi chunguni apikwe mwingine. Shida yenu ni kuona hakuna upinzani tena Tz au nini?? Mbona bunge mlibaki peke yenu, mliongeza nini au mlipunguza nini??
Tulikuwa na kina Tuntemeke Sanga kwenye bunge la chama kimoja, wapinzani kweli kweli. Wakashika shilingi, bajeti ikatikisika. Wako wapi, Leo si bado tupo?
Msiogope, hakuna njia kuwa upinzani utakufa. No, ukiondoka huu utaanza mwingine, hata ccm kwa ccm.
Yeye ndie anazungumziwa sana na LumumbaUmejuaje mkuu taarifa unazo?
Kwani hotuba ya kubwaga manyanga hajamaliza kuiandaa? Angebwaga leo tuunganishe na sikukuu ya sabasaba kabisa.Mbona tarehe 24 mbali sana. Amwage tu manyanga sasa sio kutuweka suspense,..wengine wana matatizo ya moyo kusubirini shida.
sasa wewe umezidi uzushi na huongo JF Mods wakumulike kidogo na umbea wako wa lumumba.mama mzima badala ya kwenda kupika unakaa mitandaoni na Elimu yako ya kuungaunga.Kila akipiga mahesabu nafsi yake inamwambia hapana, Lowasa ni fisadi na atabakia hivyo, matatizo makubwa yanayoikumba nchi yetu yamesababishwa na fisadi Lowasa&Co.
Super Mnyika anasepa hivyo...
wenzako wote wamepata vyeo wewe bado unahangaika na keyboard tu, vumilia labda utakumbukwa 2020.Tusubiri! Umejuaje ni Mnyika? Una taarifa nini?