Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mbunge wa Katavi, Thomas Maganga, amesema; "Mtu akiugusa Muungano mbele yangu, ni sawa na kunishika bega wakati wa 'tafaruku' ile! Mheshimiwa Mwenyekiti, mtu akigusa Muungano kwangu atakutana na matatizo makubwa kweli kweli."
Ameongeza "Muungano unao faida nyingi sana ambazo kwa akili ya kawaida tu unaweza usizione. Lakini nataka nikwambie Mheshimiwa Mwenyekiti, mimi ni mmoja wa watu ambao wako tayari kuulinda Muungano kwa nguvu zangu zote."