Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hili ni kubwa jingaMbunge wa Katavi, Thomas Maganga, amesema; "Mtu akiugusa Muungano mbele yangu, ni sawa na kunishika bega wakati wa 'tafaruku' ile! Mheshimiwa Mwenyekiti, mtu akigusa Muungano kwangu atakutana na matatizo makubwa kweli kweli."
Ameongeza "Muungano unao faida nyingi sana ambazo kwa akili ya kawaida tu unaweza usizione. Lakini nataka nikwambie Mheshimiwa Mwenyekiti, mimi ni mmoja wa watu ambao wako tayari kuulinda Muungano kwa nguvu zangu zote."
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuhaJina lenyewe mganga yaan "mganga njaa" unajigamba kwenye upuuz, faida gan ambazo hazionekan kwa macho zaid ya unyonyai wa upand mmoja