Mbunge wa Sumve (CCM), Kasalali Mageni, ameelezea wasiwasi wake kuhusu mchakato wa ajira serikalini unaotegemea ‘connection’, akidai kuwa mfumo huu unazalisha watumishi wasiokuwa na sifa zinazostahiki, hivyo kusababisha hasara kwa serikali.
"Wengi wanaamini ajira bila connection haipatikani, ndio maana sisi Mbunge ni mashahidi, kila Mbunge kwenye Jimbo lake ana meseji lukuki za kuombwa kusaidia watu wapate ajira"
"Kwahiyo Watu wanaoajiriwa kwa kuamini connection ndio imewapa ajira wanapoingia ofisini wanaenda kufanya kwa connection hizo hizo, kwahiyo mwisho wa siku tunapata hasara ya pesa zetu. "
Ameongeza kuwa ipo haja ya kuangalia mifumo inayotumika kuwapata Wakuu wa Mashirika ya Umma, Wakurugezi kwenye Halmashauri na namna wavyopatikana Makatibu Tawala.
"Ifike mahali tujiulize, tunahitaji Mkurugenzi wa Halmashauri kwa kazi gani?, anahitajika mtu mwenye sifa zipi akawe mkurugenzi wa Halmashauri? Au tunaweka mtu tu akajaze nafasi, tujifunze kutoka kwa mabenki, nafasi ya kazi inatangazwa ndani ya wafanyakazi wenye sifa"

Aseme tuu ukweli,wakurugenzi walikuwaga wanateuliwa na Katibu Mkuu wa Tamisemi/Utumishi kutona miongoni mwa Watumishi waandamizi na wenye rekodi nzuri.
Utaratibu wa kujaza Wanasiasa aliuleta Magufuli na kuvuruga Utumishi wa Umma.

Nakumbuka tulifanyiwa interview ya ukurugenzi wa taasis ya TEITI mwaka jana mwezi wa 4. Kitu cha kushangaza mh rais anekuja kumteua mtu juzi..sasa nimejiuliza ilikuwa na maana gani kutufanyisha interview kumbe watakuja kuteua