Mbunge Mageni: Ajira za 'Connection' zinasababisha mifumo ya Wizi Serikalini, ataka Wakurugenzi, Katibu Tawala wapimwe kwa sifa sio kujaza nafasi

Mbunge Mageni: Ajira za 'Connection' zinasababisha mifumo ya Wizi Serikalini, ataka Wakurugenzi, Katibu Tawala wapimwe kwa sifa sio kujaza nafasi

Kasalali akiliwa kichwa ubunge nae ataanza kusaka uteuzi WA udc.

Kasalali bila konectioni ya undugu na janeti nae asingepitishwa kugombea hiyo sumve.

Kasalali alikuwa diwani WA lyoma huko sumve, akae kwa kutulia kabisa ...... Ukiendelea maneno tunamuweka tunaweka mtu WA Malya au yule WA sumve.

Mshukuru sana shemeji Yako kukupitisha halafu Leo inaanza kuleta fyokofyoko.
 
Back
Top Bottom