Mbunge Maimuna: Barabara ya Kibiti-Lindi ina viraka milioni 10 kabla haijakabidhiwa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Maimuna Ahmad Pathan amehoji juu ya mamlaka kutochukua hatua juu ya ujenzi wa Barabara ya Kibiti-Lindi akidai imejengwa katika kiwango cha chini na ilionesha kuharibika hata kabla ya Mkandarasi hajaikabidhi.

Pia soma - Tusimung'unye maneno, barabara ya Kusini ilijengwa chini ya viwango!
 
Sasa kama barabara zinajengwa kwa hela ambayo mama ajaitafuta kwa jasho kila akienda VICOBA nje ya nchi anakuja na malundo. Ukiangalia awamu 1 iliyopita atukukopa hela nje lakini miradi iliyofanyika ilikua katika ubora wa hali ya juu
 
Lakini unafahamu kuwa hiyo barabara inayolalamikiwa hapa ilisimamiwa na huyo boss wa awamu iliyopita pindi akiwa Waziri?
 
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Maimuna Ahmad Pathan amehoji juu ya mamlaka kutochukua hatua juu ya ujenzi wa Barabara ya Kibiti-Lindi akidai imejengwa katika kiwango cha chini na ilionesha kuharibika hata kabla ya Mkandarasi hajaikabidhi.

Pia soma - Tusimung'unye maneno, barabara ya Kusini ilijengwa chini ya viwango!
Hata hivyo Kuanzia mwaka ujao wa Fedha yaani July Serikali ya mama inaenda kuifumua na kujenga upya hiyo barabara
 
Hiyo barabara aliikataa magufuli lakini mkandarasi akaongea na fisadi namba Moja(rais wa wakati ule).ikabidi alikubali tu Kwa shingo upande.
 
Back
Top Bottom