Mbunge Mariam Ditopile aungana na wana Chamwino kwa Iftar, wamuombea dua Rais Samia

Mbunge Mariam Ditopile aungana na wana Chamwino kwa Iftar, wamuombea dua Rais Samia

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
DITOPILE AUNGANA NA WANA CHAMWINO KWA IFTAR, WAMUOMBEA DUA RAIS SAMIA

Katika Muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile ameungana na Waumini Mbalimbali Kata ya Dabalo Jimbo la Chamwino Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma katika Iftari na Dua Maalum ya kuiombea Nchi na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe Mariam Ditopile anaendelea kuwatakia Waislamu wote nchini Ramadhani njema.

IMG-20230416-WA0275.jpg
IMG-20230416-WA0276.jpg
IMG-20230416-WA0277.jpg

IMG-20230416-WA0280.jpg
 

Attachments

  • IMG-20230416-WA0279.jpg
    IMG-20230416-WA0279.jpg
    86.2 KB · Views: 3
  • IMG-20230416-WA0280.jpg
    IMG-20230416-WA0280.jpg
    112.4 KB · Views: 3
  • IMG-20230416-WA0278.jpg
    IMG-20230416-WA0278.jpg
    120.1 KB · Views: 3
  • IMG-20230416-WA0278.jpg
    IMG-20230416-WA0278.jpg
    120.1 KB · Views: 3
  • IMG-20230416-WA0276.jpg
    IMG-20230416-WA0276.jpg
    99.3 KB · Views: 3
  • IMG-20230416-WA0277.jpg
    IMG-20230416-WA0277.jpg
    99.3 KB · Views: 3
Ukifturisha watu usitangaze ( maandiko) ndugu ditopile kufuturisha watu unalifanya kama jambo la siasa na sifa hakika mbele ya mungu hupati chochote. Imeandikwa ukitoa kwa mkono wa kulia wa kushoto usijue
Mnaofanya if tar jambo la siasa ?
 
Back
Top Bottom