Mbunge Mariam Ditopile: Wakili Mwabukusi akemewe, ataleta machafuko katika nchi yetu

 

Attachments

  • IMG_1068.MP4
    2.1 MB
ccm waache upuuzi mbona wao kama wabunge na raisi wameleta taharuki na uchochezi kwa watanzania kwenye ishu ya bandari na dp world
 
Ditopile , mtoto wa nyoka ni nyoka TU
 
Wee Ditopile kaa kimya!
e
 
Kwanza huyo dada alikvyokuwa anaongea yeye mwenyewe anajistukia ,hana locus stand ya kujibishana na wakili
Eti nchi yetu😂. Kwani nchi yenu peke yenu? Kwani mnachofanya kwa ushirika vigogo na mabwanyenye nchi hii mazuri? Eti wamempandisha majukwaani mwenye historia ya ufisadi mkubwa nchini rostam aziz kutetea kutwaliwa bandari zetu na dubai🤔. Bila aibu rostam anadharau mahakama zetu eti zitahongwa. Wao kwenye hizo abitration wakati wa richmond huko mbona wananchi alitudhulumu haki wakati wote? Huko arbitration kesi dhidi ya wenye nchi na mabepari wanaoitwa wawekezaji haki iko kwa mabepari wawekezaji tu.
 
Huyo ditopile kanenepa mpka sura akili azitoe wapi,pia baba yake alivyoua mtu alikemewa na nani...zaidi ya familia kumuomba jk amuachie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…