mirror01
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 1,797
- 1,391
Mapimbio na uchawaAmesomea nini huyu Dada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapimbio na uchawaAmesomea nini huyu Dada
mariam hakuna anachojua zaid ya kusagana.mambo ya kinchi haya yanahitaji uelewa mpana.Hili limetokea baada ya Wakili Mwabukusi kutoa kauli mbalimbali kuhusu bandari ikiwemo kusema Watanzania wasimuamini Waziri Mkuuu kwani ni muongo, na kwenda kufungua kesi ya kuishtaki Serikali ya Tanzania kuingia Mkataba wa Bandari na kampuni wa DP World.
Mariam amesema Wakili Mwabukusi amekuwa anatumia lugha ambazo sio za kiungwana, zilizojaa kebehi dharau, zilizovuka mipaka, ubaguzi na kichochozi, pamoja na kutweza utu viongozi mbalimbali ikiwezo Rais Samia, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge, pamoja na wananchi.
Mariam ameongeza kuwa baadhi ya kauli za Wakili Mwabukusi zinaaibisha taaluma yake kwani zinavunja sheria za nchi yetu. Akisema, wakili anajua fika akishafungua shauri Mahakamani hatakiwi kutoa maoni ili Mahakama itoe maamuzi kwa uhuru na haki, lakini pia kavunja Sheria ya Makosa ya Kimtandao kwa kutukana na kutumia lugha za kibaguzi.
Mariam Ditopile amesema kauli za Wakili Mwabukusi asipokemewa anaweza kuleta taharuki, uvunjifu wa amani au machafuko katika nchi yetu.
View attachment 2684793
Pia soma
Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika
Mawakili wa Wananchi waomba Shughuli zote za DP World kwenye bandari za Tanzania zisitishwe hadi kesi itakapomalizika
Adv Mwambukusi: Watanzania bora mumwamini shetani na siyo Waziri Mkuu
Wabunge wa vyupi haoWabunge wa viti maalumu/wa kuhongwa hawana faida kabisa.kazi yao ni kutetea serikali tu hata kwenye upuuzi.vyeo hivi vya kuhongwa vifutwe .
Huyu mbunge baba yake,ukiwaona ditopile mzuzuri, alimpiga dereva wa daladala risasi akamuua, na yeye alifia gesti,wabunge kama hawa,waliobebwa kwa majina ya baba zao,akili huwa hawana, ajibu hoja za mkatqbq wa bndari,sio kuzungumzia makosa yq wakiliHili limetokea baada ya Wakili Mwabukusi kutoa kauli mbalimbali kuhusu bandari ikiwemo kusema Watanzania wasimuamini Waziri Mkuuu kwani ni muongo, na kwenda kufungua kesi ya kuishtaki Serikali ya Tanzania kuingia Mkataba wa Bandari na kampuni wa DP World.
Mariam amesema Wakili Mwabukusi amekuwa anatumia lugha ambazo sio za kiungwana, zilizojaa kebehi dharau, zilizovuka mipaka, ubaguzi na kichochozi, pamoja na kutweza utu viongozi mbalimbali ikiwezo Rais Samia, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge, pamoja na wananchi.
Mariam ameongeza kuwa baadhi ya kauli za Wakili Mwabukusi zinaaibisha taaluma yake kwani zinavunja sheria za nchi yetu. Akisema, wakili anajua fika akishafungua shauri Mahakamani hatakiwi kutoa maoni ili Mahakama itoe maamuzi kwa uhuru na haki, lakini pia kavunja Sheria ya Makosa ya Kimtandao kwa kutukana na kutumia lugha za kibaguzi.
Mariam Ditopile amesema kauli za Wakili Mwabukusi asipokemewa anaweza kuleta taharuki, uvunjifu wa amani au machafuko katika nchi yetu.
View attachment 2684793
Pia soma
Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika
Mawakili wa Wananchi waomba Shughuli zote za DP World kwenye bandari za Tanzania zisitishwe hadi kesi itakapomalizika
Adv Mwambukusi: Watanzania bora mumwamini shetani na siyo Waziri Mkuu
Sorry mkuu babake alikua polisi? auHuyu mbunge baba yake,ukiwaona ditopile mzuzuri, alimpiga dereva wa daladala risasi akamuua, na yeye alifia gesti,wabunge kama hawa,waliobebwa kwa majina ya baba zao,akili huwa hawana, ajibu hoja za mkatqbq wa bndari,sio kuzungumzia makosa yq wakili
Waziri Mkuu ni muingo, alisema Rais Magufuli ni mzima anachapa kazi, wakati Rais Magufuli alikuwa anaumwa mahututi karibu anajifia zake.Hili limetokea baada ya Wakili Mwabukusi kutoa kauli mbalimbali kuhusu bandari ikiwemo kusema Watanzania wasimuamini Waziri Mkuuu kwani ni muongo, na kwenda kufungua kesi ya kuishtaki Serikali ya Tanzania kuingia Mkataba wa Bandari na kampuni wa DP World.
Mariam amesema Wakili Mwabukusi amekuwa anatumia lugha ambazo sio za kiungwana, zilizojaa kebehi dharau, zilizovuka mipaka, ubaguzi na kichochozi, pamoja na kutweza utu viongozi mbalimbali ikiwezo Rais Samia, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge, pamoja na wananchi.
Mariam ameongeza kuwa baadhi ya kauli za Wakili Mwabukusi zinaaibisha taaluma yake kwani zinavunja sheria za nchi yetu. Akisema, wakili anajua fika akishafungua shauri Mahakamani hatakiwi kutoa maoni ili Mahakama itoe maamuzi kwa uhuru na haki, lakini pia kavunja Sheria ya Makosa ya Kimtandao kwa kutukana na kutumia lugha za kibaguzi.
Mariam Ditopile amesema kauli za Wakili Mwabukusi asipokemewa anaweza kuleta taharuki, uvunjifu wa amani au machafuko katika nchi yetu.
View attachment 2684793
Pia soma
Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika
Mawakili wa Wananchi waomba Shughuli zote za DP World kwenye bandari za Tanzania zisitishwe hadi kesi itakapomalizika
Adv Mwambukusi: Watanzania bora mumwamini shetani na siyo Waziri Mkuu
Baba yake si ndiyo yule Muuaji wa Dereva wa Daladala ...... Ditopile Mzuzuri.Ditopile Mzuri huyu ni mwanae? Rubbish! Kusema Ukweli ndiyo kuleta taharuki,bladifaken
Hapana,nahisi alikuwa mkuu wa mkoa enzi hizo kama sikoseiSorry mkuu babake alikua polisi? au
Ok asante mkuuHapana,nahisi alikuwa mkuu wa mkoa enzi hizo kama sikosei
hawa ccm wenye certificates ya u-chawanism wanamatatizo sanaHili limetokea baada ya Wakili Mwabukusi kutoa kauli mbalimbali kuhusu bandari ikiwemo kusema Watanzania wasimuamini Waziri Mkuuu kwani ni muongo, na kwenda kufungua kesi ya kuishtaki Serikali ya Tanzania kuingia Mkataba wa Bandari na kampuni wa DP World.