Mbunge Mariam Ditopile: Wakili Mwabukusi akemewe, ataleta machafuko katika nchi yetu

Hili limetokea baada ya Wakili Mwabukusi kutoa kauli mbalimbali kuhusu bandari ikiwemo kusema Watanzania wasimuamini Waziri Mkuuu kwani ni muongo, na kwenda kufungua kesi ya kuishtaki Serikali ya Tanzania kuingia Mkataba wa Bandari na kampuni wa DP World.

Mariam amesema Wakili Mwabukusi amekuwa anatumia lugha ambazo sio za kiungwana, zilizojaa kebehi dharau, zilizovuka mipaka, ubaguzi na kichochozi, pamoja na kutweza utu viongozi mbalimbali ikiwezo Rais Samia, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge, pamoja na wananchi.

Mariam ameongeza kuwa baadhi ya kauli za Wakili Mwabukusi zinaaibisha taaluma yake kwani zinavunja sheria za nchi yetu. Akisema, wakili anajua fika akishafungua shauri Mahakamani hatakiwi kutoa maoni ili Mahakama itoe maamuzi kwa uhuru na haki, lakini pia kavunja Sheria ya Makosa ya Kimtandao kwa kutukana na kutumia lugha za kibaguzi.

Mariam Ditopile amesema kauli za Wakili Mwabukusi asipokemewa anaweza kuleta taharuki, uvunjifu wa amani au machafuko katika nchi yetu.

View attachment 2684793

Pia soma

Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika

Mawakili wa Wananchi waomba Shughuli zote za DP World kwenye bandari za Tanzania zisitishwe hadi kesi itakapomalizika

Adv Mwambukusi: Watanzania bora mumwamini shetani na siyo Waziri Mkuu
mariam hakuna anachojua zaid ya kusagana.mambo ya kinchi haya yanahitaji uelewa mpana.
 
Huyu mbunge baba yake,ukiwaona ditopile mzuzuri, alimpiga dereva wa daladala risasi akamuua, na yeye alifia gesti,wabunge kama hawa,waliobebwa kwa majina ya baba zao,akili huwa hawana, ajibu hoja za mkatqbq wa bndari,sio kuzungumzia makosa yq wakili
 
Anaongea nini huyu nae 🤔🤔 kama amevunja Sheria kamfungulie kesi mahakamani
 
Huyu mbunge baba yake,ukiwaona ditopile mzuzuri, alimpiga dereva wa daladala risasi akamuua, na yeye alifia gesti,wabunge kama hawa,waliobebwa kwa majina ya baba zao,akili huwa hawana, ajibu hoja za mkatqbq wa bndari,sio kuzungumzia makosa yq wakili
Sorry mkuu babake alikua polisi? au
 
Akina Mwabukusi tuko wengi sana tumejaa kwenye chama tawala na serikalini. Sijui mtamkemea yupi. Kwani ni uongo? Wakati raisi wangu Magu anapigania uhai wake kitandani huyu Kasimu aliutangazia umma kuwa rais ni mzima na anachapa kazi. Huyu haaminiki. Kweli sura na roho ni vitu viwili tofauti.
 
Hili limetokea baada ya Wakili Mwabukusi kutoa kauli mbalimbali kuhusu bandari ikiwemo kusema Watanzania wasimuamini Waziri Mkuuu kwani ni muongo, na kwenda kufungua kesi ya kuishtaki Serikali ya Tanzania kuingia Mkataba wa Bandari na kampuni wa DP World.

Mariam amesema Wakili Mwabukusi amekuwa anatumia lugha ambazo sio za kiungwana, zilizojaa kebehi dharau, zilizovuka mipaka, ubaguzi na kichochozi, pamoja na kutweza utu viongozi mbalimbali ikiwezo Rais Samia, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge, pamoja na wananchi.

Mariam ameongeza kuwa baadhi ya kauli za Wakili Mwabukusi zinaaibisha taaluma yake kwani zinavunja sheria za nchi yetu. Akisema, wakili anajua fika akishafungua shauri Mahakamani hatakiwi kutoa maoni ili Mahakama itoe maamuzi kwa uhuru na haki, lakini pia kavunja Sheria ya Makosa ya Kimtandao kwa kutukana na kutumia lugha za kibaguzi.

Mariam Ditopile amesema kauli za Wakili Mwabukusi asipokemewa anaweza kuleta taharuki, uvunjifu wa amani au machafuko katika nchi yetu.

View attachment 2684793

Pia soma

Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika

Mawakili wa Wananchi waomba Shughuli zote za DP World kwenye bandari za Tanzania zisitishwe hadi kesi itakapomalizika

Adv Mwambukusi: Watanzania bora mumwamini shetani na siyo Waziri Mkuu
Waziri Mkuu ni muingo, alisema Rais Magufuli ni mzima anachapa kazi, wakati Rais Magufuli alikuwa anaumwa mahututi karibu anajifia zake.

Kwani huo si uongo?
 
Aseme ni maneno gani siyo kuja na kauli nyepesi kama nywele za salon .....
 
Mawakili sio wasomi kuliko wanataaluma wengine, ni kwa sababu tu waafrika tunapenda sana kubabaika na hizi taaluma za watu.

Ni kwa sababu tu ya elimu kuchelewa kufika afrika na tunawaona kama vile wanaishi sayari nyingine.Uprofesa na udaktari unavyopapatikiwa ni mfano tu wa ulimbukeni wa bara hili.

Huyo Mwabukusi ana matatizo binafsi yanayomsumbua kichwani, anadaiwa karibu shilingi milioni 100 kwa kesi mbalimbali alizoshindwa mahakamani. Aliukosa ubunge dhidi ya Mwakibete akafungua kesi akashindwa na hii kesi aliyofungua dhidi ya serikali anakwenda kushindwa.

Ni mbinu za kimjini za kuishi kwa kupiga kelele ili uonekane mbele kamera na kupata umaarufu wakati wa utatuzi wa suala fulani linaloendelea, na wenye pesa wakikuona kupitia kamera hizo inakuwa rahisi kukuita 'pembeni' na kupata pesa.

Yeye na Nshala wanatafuta kutekwa kinguvu lakini hayo ni masuala ya awamu nyingine zilizopita, wamekutana na marais waliojiandaa kisaikolojia kuwa sehemu ya ulimwengu wa kidemokrasia.
 
Hili limetokea baada ya Wakili Mwabukusi kutoa kauli mbalimbali kuhusu bandari ikiwemo kusema Watanzania wasimuamini Waziri Mkuuu kwani ni muongo, na kwenda kufungua kesi ya kuishtaki Serikali ya Tanzania kuingia Mkataba wa Bandari na kampuni wa DP World.

Mariam amesema Wakili Mwabukusi amekuwa anatumia lugha ambazo sio za kiungwana, zilizojaa kebehi dharau, zilizovuka mipaka, ubaguzi na kichochozi, pamoja na kutweza utu viongozi mbalimbali ikiwezo Rais Samia, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge, pamoja na wananchi.

Mariam ameongeza kuwa baadhi ya kauli za Wakili Mwabukusi zinaaibisha taaluma yake kwani zinavunja sheria za nchi yetu. Akisema, wakili anajua fika akishafungua shauri Mahakamani hatakiwi kutoa maoni ili Mahakama itoe maamuzi kwa uhuru na haki, lakini pia kavunja Sheria ya Makosa ya Kimtandao kwa kutukana na kutumia lugha za kibaguzi.

Mariam Ditopile amesema kauli za Wakili Mwabukusi asipokemewa anaweza kuleta taharuki, uvunjifu wa amani au machafuko katika nchi yetu.

View attachment 2684793

Pia soma

Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika

Mawakili wa Wananchi waomba Shughuli zote za DP World kwenye bandari za Tanzania zisitishwe hadi kesi itakapomalizika

Adv Mwambukusi: Watanzania bora mumwamini shetani na siyo Waziri Mkuu
hawa ccm wenye certificates ya u-chawanism wanamatatizo sana
 
Back
Top Bottom