Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Wazee wa CEMETERY washatia kambiš¤£Raha ya huku ni kila kitu kukuhusu kipo ni ukijaribu kuchokoza vinaletwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wa CEMETERY washatia kambiš¤£Raha ya huku ni kila kitu kukuhusu kipo ni ukijaribu kuchokoza vinaletwa
Ndio maana tulisema hivyo viti maalum vifutwe! Zero brainSasa Hz business administration zinabishana na hoja za wakili!?
Ni mtoto wa Ditopile. Ni msagaji maarufu hapa Tanzania, kajiweka weka kama mwanaume.Ditopile Mzuri huyu ni mwanae? Rubbish! Kusema Ukweli ndiyo kuleta taharuki,bladifaken
Wananchi tupo na wakili. Wewe mbunge nenda kwenu dubei. Jinga sana! Ndicho ulichotumwa na wananchi wako!?Hili limetokea baada ya Wakili Mwabukusi kutoa kauli mbalimbali kuhusu bandari ikiwemo kusema Watanzania wasimuamini Waziri Mkuuu kwani ni muongo, na kwenda kufungua kesi ya kuishtaki Serikali ya Tanzania kuingia Mkataba wa Bandari na kampuni wa DP World.
Mariam amesema Wakili Mwabukusi amekuwa anatumia lugha ambazo sio za kiungwana, zilizojaa kebehi dharau, zilizovuka mipaka, ubaguzi na kichochozi, pamoja na kutweza utu viongozi mbalimbali ikiwezo Rais Samia, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge, pamoja na wananchi.
Mariam ameongeza kuwa baadhi ya kauli za Wakili Mwabukusi zinaaibisha taaluma yake kwani zinavunja sheria za nchi yetu. Akisema, wakili anajua fika akishafungua shauri Mahakamani hatakiwi kutoa maoni ili Mahakama itoe maamuzi kwa uhuru na haki, lakini pia kavunja Sheria ya Makosa ya Kimtandao kwa kutukana na kutumia lugha za kibaguzi.
Mariam Ditopile amesema kauli za Wakili Mwabukusi asipokemewa anaweza kuleta taharuki, uvunjifu wa amani au machafuko katika nchi yetu.
View attachment 2684793
Pia soma
Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika
Mawakili wa Wananchi waomba Shughuli zote za DP World kwenye bandari za Tanzania zisitishwe hadi kesi itakapomalizika
Adv Mwambukusi: Watanzania bora mumwamini shetani na siyo Waziri Mkuu
Akapike wakati anaoa wanawake wenzie? Yeye hapo ni kidume.We binti ditopile kapike haya mambo yapo juu ya uwezo wako
Hii Ditopile si ndiyo wale wale wa familia ya Mzee Ukiwaona Wanakuja Ditopile Mzuzuli. Hapo hakuna kitu hapo, ni mmoja ya wanufaika wa keki ya Taifa hawezi ona ubadhirifu unaofanywa na watawala.Hili limetokea baada ya Wakili Mwabukusi kutoa kauli mbalimbali kuhusu bandari ikiwemo kusema Watanzania wasimuamini Waziri Mkuuu kwani ni muongo, na kwenda kufungua kesi ya kuishtaki Serikali ya Tanzania kuingia Mkataba wa Bandari na kampuni wa DP World.
Mariam amesema Wakili Mwabukusi amekuwa anatumia lugha ambazo sio za kiungwana, zilizojaa kebehi dharau, zilizovuka mipaka, ubaguzi na kichochozi, pamoja na kutweza utu viongozi mbalimbali ikiwezo Rais Samia, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge, pamoja na wananchi.
Mariam ameongeza kuwa baadhi ya kauli za Wakili Mwabukusi zinaaibisha taaluma yake kwani zinavunja sheria za nchi yetu. Akisema, wakili anajua fika akishafungua shauri Mahakamani hatakiwi kutoa maoni ili Mahakama itoe maamuzi kwa uhuru na haki, lakini pia kavunja Sheria ya Makosa ya Kimtandao kwa kutukana na kutumia lugha za kibaguzi.
Mariam Ditopile amesema kauli za Wakili Mwabukusi asipokemewa anaweza kuleta taharuki, uvunjifu wa amani au machafuko katika nchi yetu.
View attachment 2684793
Pia soma
Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika
Mawakili wa Wananchi waomba Shughuli zote za DP World kwenye bandari za Tanzania zisitishwe hadi kesi itakapomalizika
Adv Mwambukusi: Watanzania bora mumwamini shetani na siyo Waziri Mkuu
UmezinguaBaba yake ni muuaji hivyo na yeye ni muu..
Mtoto wa panya ni panya
Umezingua, jibu hoja hio ni evidence of characters hata Mahakama hawaipokeiSasa kama baba anapiga risasi dereva wa daladala unategemea mwanae aone umuhimu wa bandari kutokuuzwa??
kwanza baba yako ni muuwaji. inaonekana na wewe huna kili kama baba yako.Hili limetokea baada ya Wakili Mwabukusi kutoa kauli mbalimbali kuhusu bandari ikiwemo kusema Watanzania wasimuamini Waziri Mkuuu kwani ni muongo, na kwenda kufungua kesi ya kuishtaki Serikali ya Tanzania kuingia Mkataba wa Bandari na kampuni wa DP World.
Mariam amesema Wakili Mwabukusi amekuwa anatumia lugha ambazo sio za kiungwana, zilizojaa kebehi dharau, zilizovuka mipaka, ubaguzi na kichochozi, pamoja na kutweza utu viongozi mbalimbali ikiwezo Rais Samia, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge, pamoja na wananchi.
Mariam ameongeza kuwa baadhi ya kauli za Wakili Mwabukusi zinaaibisha taaluma yake kwani zinavunja sheria za nchi yetu. Akisema, wakili anajua fika akishafungua shauri Mahakamani hatakiwi kutoa maoni ili Mahakama itoe maamuzi kwa uhuru na haki, lakini pia kavunja Sheria ya Makosa ya Kimtandao kwa kutukana na kutumia lugha za kibaguzi.
Mariam Ditopile amesema kauli za Wakili Mwabukusi asipokemewa anaweza kuleta taharuki, uvunjifu wa amani au machafuko katika nchi yetu.
View attachment 2684793
Pia soma
Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika
Mawakili wa Wananchi waomba Shughuli zote za DP World kwenye bandari za Tanzania zisitishwe hadi kesi itakapomalizika
Adv Mwambukusi: Watanzania bora mumwamini shetani na siyo Waziri Mkuu
kwahiyo hapo umejibu hoja ya Bandari ? huu sasa ndio ujinga wa kujitakia. Kama alishindwa kesi haimaanishi kuwa anachosema ni uongo. Madeni yake yake sisi hayatuhusu kabisa. watU wengi mmejaa uchawa kiasi cha kuwa vipofu wa kuona ukweli pale unapojitokeza.Mawakili sio wasomi kuliko wanataaluma wengine, ni kwa sababu tu waafrika tunapenda sana kubabaika na hizi taaluma za watu.
Ni kwa sababu tu ya elimu kuchelewa kufika afrika na tunawaona kama vile wanaishi sayari nyingine.Uprofesa na udaktari unavyopapatikiwa ni mfano tu wa ulimbukeni wa bara hili.
Huyo Mwabukusi ana matatizo binafsi yanayomsumbua kichwani, anadaiwa karibu shilingi milioni 100 kwa kesi mbalimbali alizoshindwa mahakamani. Aliukosa ubunge dhidi ya Mwakibete akafungua kesi akashindwa na hii kesi aliyofungua dhidi ya serikali anakwenda kushindwa.
Ni mbinu za kimjini za kuishi kwa kupiga kelele ili uonekane mbele kamera na kupata umaarufu wakati wa utatuzi wa suala fulani linaloendelea, na wenye pesa wakikuona kupitia kamera hizo inakuwa rahisi kukuita 'pembeni' na kupata pesa.
Yeye na Nshala wanatafuta kutekwa kinguvu lakini hayo ni masuala ya awamu nyingine zilizopita, wamekutana na marais waliojiandaa kisaikolojia kuwa sehemu ya ulimwengu wa kidemokrasia.
CCM ndiyo vinara wa kutweza, kubagua hata kuwaua watanzania wanaokwenda kinyume na matakwa ya chama hiko...Hili limetokea baada ya Wakili Mwabukusi kutoa kauli mbalimbali kuhusu bandari ikiwemo kusema Watanzania wasimuamini Waziri Mkuuu kwani ni muongo, na kwenda kufungua kesi ya kuishtaki Serikali ya Tanzania kuingia Mkataba wa Bandari na kampuni wa DP World.
Mariam amesema Wakili Mwabukusi amekuwa anatumia lugha ambazo sio za kiungwana, zilizojaa kebehi dharau, zilizovuka mipaka, ubaguzi na kichochozi, pamoja na kutweza utu viongozi mbalimbali ikiwezo Rais Samia, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge, pamoja na wananchi.
Mariam ameongeza kuwa baadhi ya kauli za Wakili Mwabukusi zinaaibisha taaluma yake kwani zinavunja sheria za nchi yetu. Akisema, wakili anajua fika akishafungua shauri Mahakamani hatakiwi kutoa maoni ili Mahakama itoe maamuzi kwa uhuru na haki, lakini pia kavunja Sheria ya Makosa ya Kimtandao kwa kutukana na kutumia lugha za kibaguzi.
Mariam Ditopile amesema kauli za Wakili Mwabukusi asipokemewa anaweza kuleta taharuki, uvunjifu wa amani au machafuko katika nchi yetu.
View attachment 2684793
Pia soma
Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika
Mawakili wa Wananchi waomba Shughuli zote za DP World kwenye bandari za Tanzania zisitishwe hadi kesi itakapomalizika
Adv Mwambukusi: Watanzania bora mumwamini shetani na siyo Waziri Mkuu
Mpuuzi tu, anawapata wajinga wachache ambao hawaelewi lolote lenye kuhusiana na biashara pana ya bandari.kwanza baba yako ni muuwaji. inaonekana na wewe huna kili kama baba yako.
kwahiyo hapo umejibu hoja ya Bandari ? huu sasa ndio ujinga wa kujitakia. Kama alishindwa kesi haimaanishi kuwa anachosema ni uongo. Madeni yake yake sisi hayatuhusu kabisa. watU wengi mmejaa uchawa kiasi cha kuwa vipofu wa kuona ukweli pale unapojitokeza.
Mkataba mbovu wa DPWORDHili limetokea baada ya Wakili Mwabukusi kutoa kauli mbalimbali kuhusu bandari ikiwemo kusema Watanzania wasimuamini Waziri Mkuuu kwani ni muongo, na kwenda kufungua kesi ya kuishtaki Serikali ya Tanzania kuingia Mkataba wa Bandari na kampuni wa DP World.