Mbunge Mariam Ditopile: Wakili Mwabukusi akemewe, ataleta machafuko katika nchi yetu

Waziri mkuu uongo upo damuni mwake...

Anatuambia tuiamini Serikali ? So imani kwenye data za uongo?

Me imani yangu Waziri mkuu muongo..

Wakili huyu ni Shujaa wewe binti wa kariakoo wa Dito tulia zako huna impact kwa jamii.. Dini yako kwanza haikuruhusu kuwa kiongozi adui wa Allah...
 
Wananchi tupo na wakili. Wewe mbunge nenda kwenu dubei. Jinga sana! Ndicho ulichotumwa na wananchi wako!?
 
Hii Ditopile si ndiyo wale wale wa familia ya Mzee Ukiwaona Wanakuja Ditopile Mzuzuli. Hapo hakuna kitu hapo, ni mmoja ya wanufaika wa keki ya Taifa hawezi ona ubadhirifu unaofanywa na watawala.
 
Sasa kama baba anapiga risasi dereva wa daladala unategemea mwanae aone umuhimu wa bandari kutokuuzwa??
Umezingua, jibu hoja hio ni evidence of characters hata Mahakama hawaipokei
✍️
 
Una laana ya Zumbe Dereva wa Daladala aliyeuawa Kawe-Lugalo,wewe ndiyo unapaswa kukewewa.
 
kwanza baba yako ni muuwaji. inaonekana na wewe huna kili kama baba yako.
kwahiyo hapo umejibu hoja ya Bandari ? huu sasa ndio ujinga wa kujitakia. Kama alishindwa kesi haimaanishi kuwa anachosema ni uongo. Madeni yake yake sisi hayatuhusu kabisa. watU wengi mmejaa uchawa kiasi cha kuwa vipofu wa kuona ukweli pale unapojitokeza.
 
CCM ndiyo vinara wa kutweza, kubagua hata kuwaua watanzania wanaokwenda kinyume na matakwa ya chama hiko...
 
Mpuuzi tu, anawapata wajinga wachache ambao hawaelewi lolote lenye kuhusiana na biashara pana ya bandari.

Mjadala wa bandari umeingiliwa na watu wenye uelewa finyu wa masuala ya usafirishaji na uchumi mzima wa bandari, hawa ndio walio mbele katika kuongelea vitu wasivyovijua wakiingiza mitazamo ya kisiasa.
 
Mkataba mbovu wa DPWORD

utaleta machafuko katika nchi yetu​

 
Hahahaha!! Mariam Ditopile mzuzuri mtoto wa kishua. Atuache sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…