Mbunge Mariam Ditopile: Wakili Mwabukusi akemewe, ataleta machafuko katika nchi yetu

Hizo umBwa mnazipa attention bure
 
Sasa tasa anaanza kusimulia visa vya leba kivipi???? Dada panua mapaja bwabako alenge haya mambo ya mikataba waachie wananchi wenye uchungu na nchi Yao 🤣🤣🤣🤣🤣dada siwezi kumu niniiiiiiiiooooo make Hana akili
 
Naishauri Mahakama iifutilie mbali kesi yake.
 
Aise hawa waandaliwe debate kule mwambukusi kule mwadada nguli marium [emoji1]

Ova
 
Acheni vitisho, kama wakili kafanya kosa moelekeni mahakamani
 
Aise hawa waandaliwe debate kule mwambukusi kule mwadada nguli marium [emoji1]

Ova
Hahahahahaaa ... debate gani unayoongelea wakati huyo wa viti maalum unamuona kabisa anaongea kwa kusoma karatasi hapo.

Mwabukusi umewahi kumuona anasoma karatasi akiongea?
 
Hiyo Mashine ya kusaga, na Pimp mkuu inaongea takataka gani?
 
Mnangoja nini kumshtaki kama amevunja Sheria za nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…