Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Sasa kwani ubunge ni ajira ya kudumu?Na asipoangalia vizuri hata huo ubunge ndio imeisha hiyoo
Hakuna majungu hapa, nimeandika kile ninachokifahamu kumhusu mpinaSasa kwani ubunge ni ajira ya kudumu?
Badala ya kujibu HOJA zilizo na viambatisho( evidence) alizoleta Mpina wewe unaongelea majungu!!
Be a man!!
Ongelea kuhusu ushahidi alipoweka mezani,Hakuna majungu hapa, nimeandika kile ninachokifahamu kumhusu mpina
Anachokizungumza mpina kinaweza kuwa ni kweli, lakini alikuwa wapi kuyazungumza haya Toka kipindi cha maguOngelea kuhusu ushahidi alipoweka mezani,
Uongo ni upi na UKWELI ni upi wa ushahidi Ule, wewe unazo evidence za kupingana na evidence zake?
Nimeongea uongo Gani hapa..mpina ni mchumia Tumbo tu hana uchungu wowoteWe ni tahira kadanganye wanakijiji kwenu
Alikuwa wapi kupambana Na ufisadi, Leo ndio ameuona ufisadi🤗🤗Ulitaka aje malaika mtakatifu asiye na dosari ndiyo akemee ubadhilifu na ufisadi hapa Tanzania na wala siyo watanzania wenyewe ( watu) amabao kimsingi hawakosi kasoro?
Kuna mahala popote alisema kuwa anapambana dhidi ya ufisadi kwa sababu alivuliwa uwaziri?
Hivi mtu mtenda dhambi akiamua kuwa mcha MUNGU akaanza kuhubiri na kukemea dhambi utamuuliza kuwa mbona ulikuwa mtenda dhambi mbona hukutuhubiri zamani ulikuwa wapi?Alikuwa wapi kupambana Na ufisadi, Leo ndio ameuona ufisadi🤗🤗
hii profile yako inaonesha kama kinyesi cha ng'ombeJamaa baada ya kuvuliwa uwaziri ndio amejifanya mtu wa kujenga hoja, ni baada tu ya kunyang'anywa tonge mdomoni, alibebwa Na magufuri Ila mfumo wa Mama samia umemtema ..Mpina akubali kuwa Kila mfumo Una watu wake, laiti kama mfumo wa mzee msoga ungeendelea kuwepo hadi Leo wengine tusingekuwa Na Hali hizi tulinazo Leo! Lakini mbona tumekubaliana Na hizi Hali....hasira ya nini?.. ninachokielewa ni kuwa Mpina akipewa ulaji Leo atakaa kimya..nipo nimekaa pale.
Kila jambo Lina wakati wake,Anachokizungumza mpina kinaweza kuwa ni kweli, lakini alikuwa wapi kuyazungumza haya Toka kipindi cha magu
Zipi Sasa? Yeye mwenyewe fisadi tu,. Mpina leo atueleze wavuvi waliokuwa wanauwawa Na kufungwa magerezani wakikamatwa wakivua samaki kisiwa cha Rubondo chato walikuwa wanatumwa na nani??..ikumbukwe kwamba mpina enzi za magu alikuwa ndie waziri wa uvuvi.Acha majungu mkuu. Wewe mpinge Kwa hoja nasio brah brah zisizo na mantiki.
Mtetee mpina achana Na picha ya mstaafu afande mloto, mzee wa kipigo cha mbwa kokohii profile yako inaonesha kama kinyesi cha ng'ombe
Hoja yangu iko pale pale mbunge Mpina ni mchumia Tumbo tu....hakuna mzalendo paleKila jambo Lina wakati wake,
Ni sawa Mimi nikuulize, kwanini thread hii umeileta Leo na Si Jana alipoongea Mpina!!
Jikite kwenye mada na HOJA za Mpina zijibiwe.
Habari ya kuzunguka HOJA Badala ya kujibu Si sawa!!
sawa chura kiziwiMtetee mpina achana Na picha ya mstaafu afande mloto, mzee wa kipigo cha mbwa koko
Huna hoja wewesawa chura kiziwi
Umelipwa Bei Gani?Hoja yangu iko pale pale mbunge Mpina ni mchumia Tumbo tu....hakuna mzalendo pale