Mbunge Mpina ni mchumia tumbo tu, wala si mzalendo

Jamaa baada ya kuvuliwa uwaziri ndio amejifanya mtu wa kujenga hoja, ni baada tu ya kunyang'anywa tonge mdomoni, alibebwa Na magufuri Ila mfumo wa Mama samia umemtema ..Mpina akubali kuwa Kila mfumo Una watu wake, laiti kama mfumo wa mzee msoga ungeendelea kuwepo hadi Leo wengine tusingekuwa Na Hali hizi tulinazo Leo! Lakini mbona tumekubaliana Na hizi Hali....hasira ya nini?.. ninachokielewa ni kuwa Mpina akipewa ulaji Leo atakaa kimya..nipo nimekaa pale.
Kunguni chotara amejitokeza.
 
Kumbe madaraka ni rushwa ya kufunga watu mdomo.!?

Hata hivyo uliona wapi waziri akiikosoa Serikali?

Hata Bashe alikua mpiga Kelele lakini alipokua waziri inabidi aendane na mfumo wa Kula kwa Kamba yake.

Lakini Mpina ni Msukuma Halisi anawatetea watanganyika wenzake usimfanamishe na Wahamiaji wenye pasport ya Tanganyika na Oman na Somalia
 
Unajichanganya mwenyewe uraia wa bashe v/ s uwaziri wake wa kilimo Na uwaziri wa mpina v/s ufisadi hivi ni vitu viwili tofauti kabisa
 
Jamaa baada ya kuvuliwa uwaziri ndio amejifanya mtu wa kujenga hoja, ni baada tu ya kunyang'anywa tonge mdomoni, alibebwa Na magufuri Ila mfumo wa Mama samia umemtema ..Mpina akubali kuwa Kila mfumo Una watu wake, laiti kama mfumo wa mzee msoga ungeendelea kuwepo hadi Leo wengine tusingekuwa Na Hali hizi tulinazo Leo! Lakini mbona tumekubaliana Na hizi Hali....hasira ya nini?.. ninachokielewa ni kuwa Mpina akipewa ulaji Leo atakaa kimya..nipo nimekaa pale.
wew ndo mchumia tumbo mpina ni mzarendo wewe ni tombanokooooo
 
Unajichanganya mwenyewe uraia wa bashe v/ s uwaziri wake wa kilimo Na uwaziri wa mpina v/s ufisadi hivi ni vitu viwili tofauti kabisa
Unajua waliomaliza Faru kule Serengeti wewe.

Ulishasikia msukuma ameua Tembo wewe?🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Wageni tutawaheshimu wakijiheshimu na kuheshimu Rasilimali zetu.
 
Jamaa baada ya kuvuliwa uwaziri ndio amejifanya mtu wa kujenga hoja, ni baada tu ya kunyang'anywa tonge mdomoni.

Alibebwa na Hayati Magufuli Ila mfumo wa Mama samia umemtema. Mpina akubali kuwa kila mfumo una watu wake, laiti kama mfumo wa mzee msoga ungeendelea kuwepo hadi leo wengine tusingekuwa na hali hizi tulinazo leo. Lakini mbona tumekubaliana na hizi hali.

Hasira ya nini? ninachokielewa ni kuwa Mpina akipewa ulaji leo atakaa kimya, nipo nimekaa pale.

Soma==>>> Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria
Wazazi wako wana life gumu sana kule kijijini wewe unaleta ujinga humu na Ubongo ulio jaaa kamasi
 
Jamaa baada ya kuvuliwa uwaziri ndio amejifanya mtu wa kujenga hoja, ni baada tu ya kunyang'anywa tonge mdomoni.

Alibebwa na Hayati Magufuli Ila mfumo wa Mama samia umemtema. Mpina akubali kuwa kila mfumo una watu wake, laiti kama mfumo wa mzee msoga ungeendelea kuwepo hadi leo wengine tusingekuwa na hali hizi tulinazo leo. Lakini mbona tumekubaliana na hizi hali.

Hasira ya nini? ninachokielewa ni kuwa Mpina akipewa ulaji leo atakaa kimya, nipo nimekaa pale.

Soma==>>> Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria
Hivi kwa maendeleo haya ya technology na elimu za watu hapa d Tanzania bado unawaza pumba kama hizi. Inaonekana ww ni babu kabisa.
 
Zipi Sasa? Yeye mwenyewe fisadi tu,. Mpina leo atueleze wavuvi waliokuwa wanauwawa Na kufungwa magerezani wakikamatwa wakivua samaki kisiwa cha Rubondo chato walikuwa wanatumwa na nani??..ikumbukwe kwamba mpina enzi za magu alikuwa ndie waziri wa uvuvi.
Haya tuchukulie kuwa haya unayoyasema ni kweli; mbona ni jambo la kawaida tu katika siasa? Nani ni msafi? Aache kutetea anachokiamini kwa wakati huu kisa huko nyuma aliboronga? Mwinyi mbona alifanya makosa makubwa sana mpaka watu wengi wakapoteza maisha lakini baadaye alikuja kuwa rais wetu?

Nadhani unatumika na lengo lako ni kupotosha mjadala unaoendelea. Ingependeza sana kama ungejikita kwenye hoja zake za sasa. Je zina ukweli? Nini kifanyike?

Mnapewa vijisenti hivi mnajivua utu na ubinadamu wenu halafu kumbe watakaokuja kuteseka ni vizazi vyenu.

NIMEKUDHARAU SANA!!!
 
Tuulize sisi wa mganza tukuambie kuhusu rubundo mkuu sio kuparamia vitu usivyovijua

Najua unafahami kabisa kuwa rubondo ni national park u ajua wazi kabisa Kuna Sheria zake.

Mtu akikamatwa hifadhini akashitakiwa akafungwa ni kosa la mpina? Mpina aliamua kudeal na majangili ya samaki Kwa jasho na damu.

Swala la kuuliwa hata wewe -JAMBAZI akikuvamia ukimuwahi kumuua ni Bahati kwako akikuwahi imekula kwako.

Hivyo ndo ilivyokuwa Kwa majangili ya samaki askari kadhaa waliponea chupuchupu wengine kufa kabisa wakiwa rindo hifadhini.

Elewa kuwa majangili yalikuwa yanajipanga kwenda kuvuna kule hifadhini na huwezi jua Yana siraha Gani.

Upande wa wafugaji Hali kadharila askari game kadhaa walikufa mmoja wapo alikuwa wa katoro aliuliwa na wafugaji pamoja na wachoma mkaa.

Hifadhi imetengwa Kwa ajiri ya wanyama sio mifugo.

Mpina alikuwa sahihi.

Pia jua ya kuwa huyo nae ni binadamu kama wewe sio malaika Cha ajabu kipi akijufunza kulingana na makosa yake aliyotenda hapo awali?

Tafadhar kama una hoja ya msingi mpinge Kwa hoja sio majungu na husuda uliyo nayo.

Ama kama umekodiwa sema tu kuwa umelipa Kwa kuanzisha Uzi hapa jf.
Zipi Sasa? Yeye mwenyewe fisadi tu,. Mpina leo atueleze wavuvi waliokuwa wanauwawa Na kufungwa magerezani wakikamatwa wakivua samaki kisiwa cha Rubondo chato walikuwa wanatumwa na nani??..ikumbukwe kwamba mpina enzi za magu alikuwa ndie waziri wa uvuvi.
 
Jamaa baada ya kuvuliwa uwaziri ndio amejifanya mtu wa kujenga hoja, ni baada tu ya kunyang'anywa tonge mdomoni.

Alibebwa na Hayati Magufuli Ila mfumo wa Mama samia umemtema. Mpina akubali kuwa kila mfumo una watu wake, laiti kama mfumo wa mzee msoga ungeendelea kuwepo hadi leo wengine tusingekuwa na hali hizi tulinazo leo. Lakini mbona tumekubaliana na hizi hali.

Hasira ya nini? ninachokielewa ni kuwa Mpina akipewa ulaji leo atakaa kimya, nipo nimekaa pale.

Soma==>>> Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria
Tunachoangalia sisi hoja iliyoko mezani! Hata Samia leo hii akija na hoja ya maana tutamsifia. Nakushauri kwenye siasa angalia hoja na usingalie mtoa hoja. Swali: je akija mwanasiasa ambaye siyo mchumia tumbo kabisa, na kuwasilisha hoja ya kijinga utamuunga mkono kwa sababu tu siyo mchumia tumbo?
 
Swali Zuri umemuuliza akikujibu nitag
 
Back
Top Bottom