Mbunge Mpina ni mchumia tumbo tu, wala si mzalendo

Jamaa baada ya kuvuliwa uwaziri ndio amejifanya mtu wa kujenga hoja, ni baada tu ya kunyang'anywa tonge mdomoni.

Alibebwa na Hayati Magufuli Ila mfumo wa Mama samia umemtema. Mpina akubali kuwa kila mfumo una watu wake, laiti kama mfumo wa mzee msoga ungeendelea kuwepo hadi leo wengine tusingekuwa na hali hizi tulinazo leo. Lakini mbona tumekubaliana na hizi hali.

Hasira ya nini? ninachokielewa ni kuwa Mpina akipewa ulaji leo atakaa kimya, nipo nimekaa pale.

Soma==>>> Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria
ni tapeli mkubwa
 
Jibu hojaa zakeeeee

Acha kusema mchumia Tumboo

Kusema ukwelii ndio uchumia tumboo.

Bashe ajibu hoja
Tulia ajibu hojaa
Huwezi kumuhukumu mtuu bila kumpa mda wa kumsikilizaa ,yaleyale ya Lowasa

Watu wanalindanaaaa..

Nilitegemea yale manenonya Tulia siku ya Msiba wa Lowassa angetembea nayo kumbe haikuwa hivyoo

Tunalindana
 
Jamaa baada ya kuvuliwa uwaziri ndio amejifanya mtu wa kujenga hoja, ni baada tu ya kunyang'anywa tonge mdomoni.

Alibebwa na Hayati Magufuli Ila mfumo wa Mama samia umemtema. Mpina akubali kuwa kila mfumo una watu wake, laiti kama mfumo wa mzee msoga ungeendelea kuwepo hadi leo wengine tusingekuwa na hali hizi tulinazo leo. Lakini mbona tumekubaliana na hizi hali.

Hasira ya nini? ninachokielewa ni kuwa Mpina akipewa ulaji leo atakaa kimya, nipo nimekaa pale.

Soma==>>> Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria
Your argument doesn't support your tittle.
 
Back
Top Bottom