Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
ni muhimu sana kua wastarabu kidogo ndugu zangu,View attachment 3621129
Haya sasa, Mbunge Msukuma kawatolea uvivu wale walio ingiza maneno fiksi juu ya ajira na mambo ya Afya inapokuja waTanganyika huko Zanzibar.
Msukuma kajieleza vizuri alipoongea na waandishi wa habari.
Kimsingi Msukuma anasema Wazanzibari ni wavivu kiasili.
Mnasemaji wajameni
Wazenji wengi ni mdebwedo sana kazi za kiume hawawezi, wanabokoana sana.View attachment 3621129
Haya sasa, Mbunge Msukuma kawatolea uvivu wale walio ingiza maneno fiksi juu ya ajira na mambo ya Afya inapokuja waTanganyika huko Zanzibar.
Msukuma kajieleza vizuri alipoongea na waandishi wa habari.
Kimsingi Msukuma anasema Wazanzibari ni wavivu kiasili.
Mnasemaji wajameni
Kweli wavivu, lkn wakitoa kauli moja tu bungeni ya upole ,wabunge wote wa Tanganyika wanaijibu tena kwa hasiraView attachment 3621129
Haya sasa, Mbunge Msukuma kawatolea uvivu wale walio ingiza maneno fiksi juu ya ajira na mambo ya Afya inapokuja waTanganyika huko Zanzibar.
Msukuma kajieleza vizuri alipoongea na waandishi wa habari.
Kimsingi Msukuma anasema Wazanzibari ni wavivu kiasili.
Mnasemaji wajameni
Endeleeni kushika upande hadi mkavute haka kanchi mkagawaneView attachment 3621129
Haya sasa, Mbunge Msukuma kawatolea uvivu wale walio ingiza maneno fiksi juu ya ajira na mambo ya Afya inapokuja waTanganyika huko Zanzibar.
Msukuma kajieleza vizuri alipoongea na waandishi wa habari.
Kimsingi Msukuma anasema Wazanzibari ni wavivu kiasili.
Mnasemaji wajameni
Ha ha ha.....!ni muhimu sana kua wastarabu kidogo ndugu zangu,
lakini pia ni muhimu zaidi kua wastahilivu na wenye subra kidogo , kwasababu ukweli mwingine unaumiza sana aise🐒
sina maoni 🐒Ha ha ha.....!
Mkuu tunawafahamu zaidi ya mnavyojifamamu.
Tunajua kuwa mnafika kazini saa mbili, saa nne mnaenda markiti(sokoni).
Mkirudi ofisini na baadaye mkienda kula nyumbani ndiyo imetoka hiyo.
Mbadilike, na Saada Mkuya aambiwe, chimbuko lake ni Tanganyika.sina maoni 🐒
Umeguswa kijambioni siyo?Kweli wavivu, lkn wakitoa kauli moja tu bungeni ya upole ,wabunge wote wa Tanganyika wanaijibu tena kwa hasira
Na kale katabia kao ka usodoma pia kamechangia wawe mdebwedo sana.Kwa ujumla, maeneo mengi yaliyokaliwa na waarabu kwa muda mrefu, watu wengi huwa ni wavivu. Hilo la wazanzibari kuwa wavivu, linafahamika tangu miaka mingi. Mwaka 1964, mzeeJomo Kenyata alipoambiwa na Henry Kissinger, aichukue Zanzibar, mzee Kenyata alikataa akidai kuwa wazanzibari ni watu goigoi.
Wazanzibari, kiasili hawawezi kazi ngumu za kutumia nguvu.