Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Kwani amesema uongo? Ni kweli Wazanzibari ni wavivu, ni wabinafsi, ni wabaguzi, na pia ni wanyonyaji.Wakisema wazenji basi itakuwa ni ubaguzi , yaani bara wana inferiority complex.
Kwani amesema uongo? Ni kweli Wazanzibari ni wavivu, ni wabinafsi, ni wabaguzi, na pia ni wanyonyaji.Wakisema wazenji basi itakuwa ni ubaguzi , yaani bara wana inferiority complex.
Inferiority kwa wilaya ya Zanzibar ?Wakisema wazenji basi itakuwa ni ubaguzi , yaani bara wana inferiority complex.
Nimekaa Zanzobar, hakuna watu wavivu kama hawa ndugu zetu.Kuna MZANZIBAR kafanya kazi ya saidia fundi.mpaka Leo hajarudi.akipigiwa simu anasema mwili Bado haujakaa sawaa ntakujaa.
Ni wavivuuu
Wakisema ukweli nao msije kujaza posts huku ,maana kama mafala ..Kila kona mtaandika.Kwani amesema uongo? Ni kweli Wazanzibari ni wavivu, ni wabinafsi, ni wabaguzi, na pia ni wanyonyaji.
Ile ni nchi ,ndio maana mnalia kupata ardhi 😅😅O
Inferiority kwa wilaya ya Zanzibar ?
Usitake watu wacheke ni vile tu Watanganyika sio wazalendo
Ugali hawaliNimekaa Zanzobar, hakuna watu wavivu kama hawa ndugu zetu.
Kazi kwao ni adhabu.
Hadi wabunge?View attachment 3621129
Haya sasa, Mbunge Msukuma kawatolea uvivu wale walio ingiza maneno fiksi juu ya ajira na mambo ya Afya inapokuja waTanganyika huko Zanzibar.
Msukuma kajieleza vizuri alipoongea na waandishi wa habari.
Kimsingi Msukuma anasema Wazanzibari ni wavivu kiasili.
Mnasemaji wajameni
Daah Msukuma amepasua jipuView attachment 3621129
Haya sasa, Mbunge Msukuma kawatolea uvivu wale walio ingiza maneno fiksi juu ya ajira na mambo ya Afya inapokuja waTanganyika huko Zanzibar.
Msukuma kajieleza vizuri alipoongea na waandishi wa habari.
Kimsingi Msukuma anasema Wazanzibari ni wavivu kiasili.
Mnasemaji wajameni
Mentality ya umwinyi na utumwa imewakaa katika mindset kwa Wazanzibari.Kwa ujumla, maeneo mengi yaliyokaliwa na waarabu kwa muda mrefu, watu wengi huwa ni wavivu. Hilo la wazanzibari kuwa wavivu, linafahamika tangu miaka mingi. Mwaka 1964, mzeeJomo Kenyata alipoambiwa na Henry Kissinger, aichukue Zanzibar, mzee Kenyata alikataa akidai kuwa wazanzibari ni watu goigoi.
Wazanzibari, kiasili hawawezi kazi ngumu za kutumia nguvu.
HahahaHuu ni ukweli mchungu Pemba watu wanalala saa 1 na kuamka kesho saa 4
Nililala Pemba nilikuwa natakiwa kwenda Mombasa kesho yake kwa boat nilijuta
Mkuu wake zenu hawana shape hili nalo ni ushujaa?Tayari mmeshamuona Msukuma ni shujaa mnacheza ngoma ya CCM makosa ya kiufundi ni mengi