Mbunge Msukuma: Sakata la kazi visiwani, Wazanzibari ni wavivu!

Wakisema wazenji basi itakuwa ni ubaguzi , yaani bara wana inferiority complex.
Kwani amesema uongo? Ni kweli Wazanzibari ni wavivu, ni wabinafsi, ni wabaguzi, na pia ni wanyonyaji.
 
Kuna MZANZIBAR kafanya kazi ya saidia fundi.mpaka Leo hajarudi.akipigiwa simu anasema mwili Bado haujakaa sawaa ntakujaa.
Ni wavivuuu
 
Mmoja wa wabunge swali lake serikalini; kwanini serikali imeacha kuendeleza bandari kavu ya kwala; eneo ambalo tumelitenga rasmi na SGR inapita.

Wakati huo tunaachia watu Dar wanachukua maeneo katikati ya mji na kusababisha foleni zisizo na lazima kwa kutenga bandari kavu katikati ya jiji.

Waziri wa uchukuzi mzanzibari, utaki kujua ya waziri wa fedha.

China siku akiingia kiongozi mzalendo hawasamehi usaliti wa watu ambao wako tayari kuaribu nchi kwa ubinafsi wao.

Inakera sana hawa watu wasiotosheka, mbaya zaidi mauaji ya hovyo kwa watu ambao wanawudu. Isipokuwa kuuwa imekuwa tabia ya kawaida kwao.

So sad
 
Kwani amesema uongo? Ni kweli Wazanzibari ni wavivu, ni wabinafsi, ni wabaguzi, na pia ni wanyonyaji.
Wakisema ukweli nao msije kujaza posts huku ,maana kama mafala ..Kila kona mtaandika.
 
Daah Msukuma amepasua jipu
 
Mentality ya umwinyi na utumwa imewakaa katika mindset kwa Wazanzibari.
Waarabu walikuwa mamwinyi ambao waliwatumikisha watumwa.

Kila mzanzibari anautamani umwinyi.
Hivyo kufanya kazi za nguvu inalinganishwa na utwana, na utumwa.
Na hii mindset kila mzanzibari anayo akilini mwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…